Looking for Business Partner(s)

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Habari wana bodi.

Nimekuwa interested sana na biashara ya hardware pamoja na biashara ya workshop.

(a) Workshop

Workshop inaweza kuwa ya woodworks, Aluminium works, PVC works and Welding.

(b) Hardware

Kwa ajili ya kuuza building materials na mbao.

Why partnership?

Ili kuweza kuwa na mtaji mkubwa na kuweza kupunguza individual risks.

Mawazo yangu ni kuanza biashara ikiwa mpya kabisa.

Nakaribisha mawazo. Mimi nipo Dar.

Asante
 
Mkuu Samcezar

Pesa hipo kama kiasi cha 30mil
Ni suala la kukubaliana na Partner juu/aina ya biashara na contributions.

Asante.
 
Je upo tayari kuchangia mtaji kama tutakaa mezani na kuongeza biashara nyingine mwishoni tukachagua yenye ROI kubwa zaidi.nipo tayari kuweka 10m mezani
Mkuu Samcezar

Pesa hipo kama kiasi cha 30mil
Ni suala la kukubaliana na Partner juu/aina ya biashara na contributions.

Asante.
 
Habari wana bodi.

Nimekuwa interested sana na biashara ya hardware pamoja na biashara ya workshop.

(a) Workshop

Workshop inaweza kuwa ya woodworks, Aluminium works, PVC works and Welding.

(b) Hardware

Kwa ajili ya kuuza building materials na mbao.

Why partnership?

Ili kuweza kuwa na mtaji mkubwa na kuweza kupunguza individual risks.

Mawazo yangu ni kuanza biashara ikiwa mpya kabisa.

Nakaribisha mawazo. Mimi nipo Dar.

Asante
Mimi niko interested but sina mtaji wa kuanzisha hiyo biashara
Nina UJUZI nimesoma CIVIL Engineering(Uhandisi Ujenzi)....
Kama utapenda tufanye joint mi nakuja na ujuzi wangu!
Niko Dar
 
partnership huwa zina complications sana, mimi njia ninayotumia ni ile kumtafuta mtu mwenye biashara yake tayari lakini ipo stagnant kutokana na kukosa mtaji wa kuipaisha zaidi , then na contribute kiasi kadhaa kwa percentage ya kwenye profit,
 
Back
Top Bottom