Looking for a love

Looking for a love

weka picha yako...mnapenda sana kutoa sifa mnazozitaka wakati wenyewe muonekano wenu ni vituko...

Mutant Gene trust me am gud! najiamini thus y sikukimbilia kupost picha alafu am after personality & charactor muonekano ni walk over cha msingi kimo okay?
 
okay, let me try this...naweza nikaokota dhahabu humu, huh? ila age kama itakuwa tatizo...
 
Mutant Gene trust me am gud! najiamini thus y sikukimbilia kupost picha alafu am after personality & charactor muonekano ni walk over cha msingi kimo okay?
Kimo cha wapi mupenzi? be specific..
 
me mwenyewe napenda kuwa karibu na walotengwa aisee!!

Hahaha me hata sijatengwa labda unitenge wewe. Me napenda Hip Hop n nawakubali sana Watengwa from kijenge juu. Jcb, chindoman, Yuzzo, Donnie
 
we una urefu gani?umbo gani?wajihi wako?weka vigezo ulivyonavyo vya kukwolifai kuwa mke

Kozo urefu wa kawaida umbo la kiafrica kiufupi mm wa kawaida am natural sijajibleach wala nn. napenda Mungu alivyoniumba
 
nitupia na sifa zingine pia ulizonazo kwa pm ambazo unadhani huwezi kuzitupia hapa hadharani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom