Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 19,506
- 42,876
Bado hamjasema 😂🤣🤣🤣 tuachee
Bado hamjasema 😂🤣🤣🤣 tuachee
🥴Bado hamjasema 😂
BABA WA HUYO 1 KID YUKO WAPI?, NAOMBA KUULIZAJf family,
Im looking for a matured man to start a new life chapter with.Im 35yrs-christian with one kid.Im employed.
If you are interested,you are in your 30's up to 40's please leave a message in my dm.
Cheers!
Hio ndio hua stage ya Mwisho kabisa ilimradi anapumua hata km hana kazi tutaishi tuNgoma imefika pale kwenye 'Ilimradi awe anapumua tu' hakuna cha Tall, dark and handsome tena. Life's a bich
Mzee baba siku hizi umekua na maneno makali sanaBABA WA HUYO 1 KID YUKO WAPI?, NAOMBA KUULIZA
Hapo angeongezea neno la mwisho kwamba ana upwiru wa muda mrefu kwa hio uwe unajua kukamia Goli sio kimoja chaliVyote hivi vinaweza kufojika tu
Hapo angeongezea neno la mwisho kwamba ana upwiru wa muda mrefu sana kwa hio uwe unajua kukamia Goli na kupeleka Moto haswa sio kimoja chaliKila la khery binti mzuri.
naomba kufahamu sehemu gani nimetumia maneno makali ili nijirekebisheMzee baba siku hizi umekua na maneno makali sana
Miaka 35, una kazi na una mtoto tayari na bado unahitaji mume?...Jf family,
Im looking for a matured man to start a new life chapter with.Im 35yrs-christian with one kid.Im employed.
If you are interested,you are in your 30's up to 40's please leave a message in my dm.
Cheers!
Acha kumshambulia mke wanguHela unayo bi dada..?
Sio unatuwekea viingeleza vingi na akati soko lako lenyewe gumu single mother.
Mechi kabla haijaanza tayari Al ahl 1,simba bado hajapata kitu 😂🤣Jf family,
Im looking for a matured man to start a new life chapter with.Im 35yrs-christian with one kid.Im employed.
If you are interested,you are in your 30's up to 40's please leave a message in my dm.
Cheers!
Ni vigumu kukaa na upwiru kwa muda mrefu kwa Dunia ya sasaHapo angeongezea neno la mwisho kwamba ana upwiru wa muda mrefu kwa hio uwe unajua kukamia Goli sio kimoja chali
Itakua kuna mwamba anamshughulikiaNi vigumu kukaa na upwiru kwa muda mrefu kwa Dunia ya sasa
Lazima awepo wa part timeItakua kuna mwamba anamshughulikia
Na wanakuaga wabaya kwenye kuisuguliaLazima awepo wa part time
Hahahaaa, naona legend umeanza kutiririkaNa wanakuaga wabaya kwenye kuisugulia
Uzee DawaHahahaaa, naona legend umeanza kutiririka
HahahahaHapa ni sawa na kocha kaona mechi ipo dakika ya 89 referee anakaribia kumaliza mchezo ndo anakusimamisha benchi uende ukaokoe timu