Looking for a husband

Soma tena ulivyoandika!!Kwanza umesema sio wewe ile kwenye vigezo umeelezea kama ni wewe:A S 13:

okay, sorry nimeshaelewa. Tatizo kakaa hapa pemebeni yangu basi alivyosema sina mtoto na mimi nikaandika hivyo hivyo. Mimi sitafuti nimeshaolewa ni huyu rafiki yangu.
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

Hapo kwekundu umepitiwa... Sahihisha... vinginevyo .....we need to prove beyond reasonable doubt kuwa sio wewe.... Usimdanganye mumeo wakati aweza kukumata kwa mpangilio wa matukio, na maneno yatokayo kinywani.
 
Kwani upara una tatizo gani? Akiota upara katikati ya ndoa atapigwa chini?
 
hello wana jf,
rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi - yes
miaka awe btn 30-38 - yes
rangi-any - yes
kabila- any - yes
religion-mkristo - yes
asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa - yes
asiwe na kitambi - yes
asiwe na upara - yes
urefu wa wastani - yes
ambae hajawahi kuoa - yes
loving na awe na mapenzi ya dhati, - aisee mpaka utasahau ule usemi mnaosema kuwa wanaume wote shetani wao ni mmoja
caring,
mvumilivu, - kupita maelezo naweza kuvumilia kufa na kuzikana
muelewa, - kuliko hata spika wa bunge

sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na jf ila atajiunga soon. Mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa
natumaini nimejibu maswali yako kwa ufasaha
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara

Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

mmmmhhhh haya tunasubiri tumuone mwenye hivyo vigezo.kumbuka siku hizi pia kuna vifua vya kichina:behindsofa:
 
hahaha!ni ww unatafuta ama ni friend wako?!!!!!!!!!!kuna mahali cjaelewa kdg ila kila la kheri
 
Hello wana JF,
Rafiki yangu anatafuta mume wa kufa na kuzikana.

Vigezo ma masharti kuzingatiwa. Naomba niwasilisha kama nilivyotumwa.
Msomi
Miaka awe btn 30-38
Rangi-any
Kabila- any
Religion-Mkristo
Asiwe mnene i mean over weight wala kuwa na ****** makubwa
asiwe na kitambi
asiwe na upara
Urefu wa wastani
Ambae hajawahi kuoa
Loving na awe na mapenzi ya dhati,
caring,
Mvumilivu,
Muelewa,

Sifa za shosti ni hizi

degree holder, ni mweusi, mwembamba, urefu wa wastani, sina mtoto wala sijawahi kuolewa, Nina miaka 27 na nina kazi.

Jamani rafiki yangu huyu bado hajajiunga na JF ila atajiunga soon. mwenye sifa ani pm nitamfikishia maana huyu ni rafiki yangu. Nawasilisha. Karibuni shemeji watarajiwa

Kigezo cha uvumilivu anatakiwa awe nacho mwanamke. Nataka nimwulize kwa nini anamtaka mwanaume mvumilivu inaonyesha ni msumbufu na anataka mtu ambaye hata mpa changamoto. Yaani anataka mwanaume wa YES SIR which is very bad. Labda mwambie I clarify anataka avumiliwe kwa lipi? ana hasira sana,? anaboa sana or what?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom