stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 164
Wanaume mtaanza kumuogopa uwanjani sasa.Nyoso jembe
Ckuiz amebadirika niricheza nae stakhishari ameacha hayo mamboWanaume mtaanza kumuogopa uwanjani sasa.
Hahaha sawa mkuuCkuiz amebadirika niricheza nae stakhishari ameacha hayo mambo
Bila shaka mkuuNatumaini atakuwa kajirekebisha
Huwezi sema hata kama alikubonyeza uko kwenye ndondo hakna kameraCkuiz amebadirika niricheza nae stakhishari ameacha hayo mambo
sio kwamba alifanya yake na mchezo ulikufurahisha sanaCkuiz amebadirika niricheza nae stakhishari ameacha hayo mambo
Unasikitisha mkuusio kwamba alifanya yake na mchezo ulikufurahisha sana
Nisamehe bosi wangu si unajua tenaUnasikitisha mkuu
mkuu nitakuchukulia hatua za kisheria kwa kunivua nguoNisamehe bosi wangu si unajua tena
Hapana bosi wangu ukinichukulia hatua nits loose kila kitu katika maisha yangu NISAMEHE BURE SI UNAJUA SISI WENYE NJAA SOME TIME TUNATAFUTA UKARIBU WA NGUVU NA NYIE MA DONmkuu nitakuchukulia hatua za kisheria kwa kunivua nguo
Ucjar mkuu haina shidaHapana bosi wangu ukinichukulia hatua nits loose kila kitu katika maisha yangu NISAMEHE BURE SI UNAJUA SISI WENYE NJAA SOME TIME TUNATAFUTA UKARIBU WA NGUVU NA NYIE MA DON
Yani ucheze nae game moja tu ndio Ujue kwamba ameacha? hahahaaaa. Huyu jamaa kiboko aisee.Ckuiz amebadirika niricheza nae stakhishari ameacha hayo mambo
Nashukuru sana , sasa hauna ki kazi hata hapo bustanini kwako kesho mkono uende kwa kichwaUcjar mkuu haina shida