Inasikitisha, halafu mtoto huyo utakuta jina la ukoo anaitwa Mayala...ni mfano tu...Nini unaweza kufikilia na kiwaza juu ya watoto wetu wa kike na dada zenu kutokana na tukio hilo?.
Pascal Mayalla hapendi utaniInasikitisha, halafu mtoto huyo utakuta jina la ukoo anaitwa Mayala...ni mfano tu...
Hawa dada na wadogo zetu sometimes wanaharibu sana.Kuna mmoja kule Darisalamu tegeta nadhani hadi sasa atakuwa kamaliza shule, nilikuwa namuonea huruma kutokana na mazingira aliyopo.