BOMBAY
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 4,682
- 3,406
Zamaradi sio mnyakyusa,ni muha wakigomaNdugu hao. Kwani hujui? Zamaradi na baba yake huyo binti wote Wanyakyusa
Zamaradi sio mnyakyusa,ni muha wakigomaNdugu hao. Kwani hujui? Zamaradi na baba yake huyo binti wote Wanyakyusa
Unabishana na mimi wakati nilisoma nayeZamaradi sio mnyakyusa,ni muha wakigoma
Sawa mkuuHata Pascal wa Jf anafanana na madenge ila madenge yeye ni mjanja.
Matt DamonMark Wahlberg na Jason Bourne zamani nilijua ni mtu mmoja
Uyo zamradi sija wai kumwelewa kabsa naka onaga kabaya
Matt damon, sio?Wanafanana sana hawa jamaa aisee utasema ni kurwa na doto
Yeah, tena nimeamua kumrudia upya hapa saivi nimefika sequel ya mwisho ya 2016Matt damon, sio?
Hivi Jason Bourne sio Mark Wahlberg kumbe?Mark Wahlberg na Jason Bourne zamani nilijua ni mtu mmoja
Jason ni Matt Demon jina lake halisi ila wanafanana sana hata huko holywood mashabiki wanawachanganyaHivi Jason Bourne sio Mark Wahlberg kumbe?
Ujinga unao weweKapigeni kura huko acheni ujinga.
Ujinga unao wewe
All the bestBado nusu saa tu safina ifungwe!
Na huyo bint sio wa pande za +254?Zamaradi sio mnyakyusa,ni muha wakigoma
PoaSawa....