mtemiwaWandamba
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 561
- 223
Msishangae haya si ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania !!!( slogan ya CCM)
Kasi , hari , nguvu mpya ya kuendeleza maisha bora kwa kil mwananchi.
Lakini Rais aliyeahidi hayo hajui kwanini Tanzania na Watanzania ni Masikini.
2015 Watakuja tena na uongo mwingine mtawachagua tena au la mtakubali kura zenu zichakachuliwe tena.
CCM haikubaliki jamani tushirikiane kuitokomeza
hapana mi naona kama vile ni congo au south sudan,,na wala si tanzania coz tanzania inamadini,mali asili,na viongozi safi pamoja na siasa safi mkuuu
watanzania wengi wamekufa wangali wanatembea.
namshukuru mungu, nilishawahi kuishi maisha kama haya utotoni mwangu, kwa kifupi ni kwamba nimekuwa katika maisha kama haya hadi nilipofika miaka 14, namshukuru mungu amenifikisha mbali sasa, nimesoma nimefika mbali, nimetembea nchi za kutosha ulaya na america etc, nina kazi nzuri, nyumba nzuri na biashara nzuri,.. Kweli mungu amenitoa mbali, sifa na utukufu ni kwake.
hapana mi naona kama vile ni congo au south sudan,,na wala si tanzania coz tanzania inamadini,mali asili,na viongozi safi pamoja na siasa safi mkuuu