Mungu na atupe uzima tuwalee watoto mpk wakue, amini ucamini ukiondoka duniani watoto wangali wadogo ni taabu kwao. Yaweza kuwa na wako kesho usipokuwepo..... Usikataaeee akikwitaaaa ule wimbo unaumiza sana
Kweli Hii labda ni huko South Sudan Kuna habari South Sudan zimeisha potea $ billioni 4. Jamaa wameanza kula kwa nguvu huku nchi bado iko hoi. Hawa ndio viongozi bara letu limejaaliwa kuwapata ! South Sudan officials have stolen $4 billion: president | Reuters
Mhh, am trying to convince my mental faculties to absorb this! Tanzania? Land of peace? What peace? God will punish us for failure to make a better life for these kids.
Mhh, am trying to convince my mental faculties to absorb this! Tanzania? Land of peace? What peace? God will punish us for failure to make a better life for these kids.
Inaweza ikawa Tanzania the kid looks health tofauti sana na wale wa picha za Sudan, naona anakaa tu sehemu yenye vmbi na lbda yuko machungani akachoka akaona ajilaze
Hakika hajaiona! Na nafikiri kuiona ni ngumu jamani kwa hali aliyonayo ya kufly kwa siku 331 tangu awe madarakani juu ya anga na bila kuwa jali wapiga kura wake!