Huku dunia nzima inawashangaa mlivyotia fora kwa wizi wa kura!!Ni kweli ila CCM ndio imeshawanyakua hivyo
KIPINDI HIKI HADI MTANENA KWA LUGHA ZOTEE. TULIWAMBIA WATANZANIA SIO MAZWAZWA.Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results-Albert Einstein.
Ongeeni na makamanda wenu huko longido wawape siri ya kutokamatwaWaambie wawaachie makamanda 20 wa Chadema Singida,kesi ya aibu eti tarehe 30 Oct waliandamana ,kesi uhujumu uchumi mawakala!!! Inaharibu sherehe kuapiswa mfalme.DPP afute shauri waungane sherehe kuapishwa mkuu. ( Rejea ITV habari saa2 leo)
Yet expecting different results!Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results-Albert Einstein.
Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020.
My Take:
Hongera kwao kwa kujitambua.
Inshallah tuonane Dom jumatano kushuhudia mzee wetu akila kiapoWamechagua maendeleo
Wacha twende pamoja na rais wetu John Pombe Magufuli
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results-Albert Einstein.
Wewe mshamba sana, hivi tanzania kuna watu 60million, kwa nini huwa mnajisumbua hivi kutangaza mtu kuhama, hao ndiyo wajinga wenzeni, time is coming when you will be crying!! There is time to laugh and there will be your time to cry!Taarifa kutoka Wilayani longido mkoani Arusha ni kwamba katibu mwenezi na wanachama wake wa kutosha wamehamia CCM Tarehe 30 oktoba 2020.
My Take:
Hongera kwao kwa kujitambua.
Itakua siku ya mapumziko? Nimechoka kwenda kaziniInshallah tuonane Dom jumatano kushuhudia mzee wetu akila kiapo
Mlisema hivto kila mara huku jahazi linazidi kuzama.Mapema mno kuanza biashara hii!!! Any way nunueni kila kata walau watu 1000 kwa 5m, tuongeze mzunguko mtaani hali ni tete sana.
Hao wachache ndo wame waadhibu kisawa sawa, kwa wingi wenu mbona hamkushinda. Ukute katibya milioni 60 haobunao sema labda milion 5 tu ndo manaopinga wengine wote hawana shida.Wewe mshamba sana, hivi tanzania kuna watu 60million, kwa nini huwa mnajisumbua hivi kutangaza mtu kuhama, hao ndiyo wajinga wenzeni, time is coming when you will be crying!! There is time to laugh and there will be your time to cry!