Long-term partner - woman is needed

Long-term partner - woman is needed

Kuna huyo mmoja alikuja na viingeleza kama hivi nikadhani yupo seriously Maana alieka hadi email wee ni msukuma

Alikuwa ananifokea ananilazimisha niende mwanza nikakataa akaniambia KWANI WEWE NI UGARI???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Ugali wa mzyenge ama nini

[emoji23][emoji23] msukuma yule analazimisha kiufupi Hana maada

Hapo nika note kitu wanaotafuta wachumba mitandaoni wengi wako na shida imagine huyo bro hatufahamiani ananilazimisha niende Mwanza na ndio kwanza tuna siku 3 tangu tuanze kuongea

Nilipokataa ndio ananiuliza KWANI WEWE NI UGALI? Akimaanisha kuwa naringaringa nini kwamba nisipoenda yeye hawezi kufa njaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Kajamaa ni kababe
 
😂😂😂😂Kwani salikutumia kanauli kadogo
 
Back
Top Bottom