Long distance km kipolo tuUnaweza kukaa kwenye long distance relationship kwa muda gani?View attachment 2425733
Ni nzuri ila ina gharama yake ,,,Naipenda Sana,kila mkikutana inakuwa mpya[emoji3059]
Kama zipi?Ni nzuri ila ina gharama yake ,,,
Mkuu ata mbuzi zako tu wenyewe wauni watakupiga ndolema mwisho wa siku utakuta kabaki mmoja tuLabda kama unafuga mbuzi unaweza kuwa mbali nao ,lakini sio Mahusiano ( mapenzi).
Ova nakazia[emoji419]Kwenye kikao kilichopita tulikubaliana mahusiano ya mbali wanayaweza Umoja wa mataifa
Ata mademu hawawezi wanaishia kupiga selfie na kona ya kitanda au maji ya moto🤣🤣🤣🤣🤣Wenye uchu hawawezi,
mzabzab
Ni nzuri ila ina gharama yakeNaipenda Sana,kila mkikutana inakuwa mpya
Mwanaume lazma uwe na kipato himilivu ili kuenjoy mapenzi ,,,familia iwe inapata mahitaji ipaswavyo,,Kama zipi?
hata miaka yote inawezekana lakini ujue mmoja wenu ana mtu wake in your absence. Yaani for that relationship to exist, one of you must be stupidUnaweza kukaa kwenye long distance relationship kwa muda gani?View attachment 2425733
Kama bluetooth tu.. it connects to the nearest deviceLong distance haitakiwi kuzidi km 350
Vikidizi hapo ni mnadanganyana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]muoneAta mademu hawawezi wanaishia kupiga selfie na kona ya kitanda au maji ya moto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WeeeehLong distance haitakiwi kuzidi km 350
Vikidizi hapo ni mnadanganyana
Ndiyo dadaWeeeeh