Long distance relationship, uaminifu zero

Long distance relationship, uaminifu zero

rasdavy

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
84
Reaction score
14
Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana ni mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenzi ya namna hii.
 
Watoto wa nje kupatikana nilazima, mbaba hana ujanja.
 
Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana n mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenz ya namna hii

Mapenzi ni mapenzi tuu....!! Kama mnapendana kwa dhati mtasubiriana na kuvumiliana tu, lakini kama kuna mmoja wenu yupo kimtego mtego hapo ndipo matatizo huanzia!!

Unachopaswa kujali ni nafasi yako kwa umpendae unapokuwa karibu yake bila kujali yaliyofanyika ulipokuwa mbali unless na wewe ulikuwa mwaminifu!! Cha msingi mkapime, muwe safe kulimega baasi
 
papuchi wanagawa tuu wala usijidanganye kuwa papuchi yako peke yako
 
Noohh inategemea, wanawake wanaweza sanaa kuvumilia. Me nishawahi kukaa mmbali na wangu hata sijawahi chepuka. Kila taswira ya mapenzi ikija namkumbuka yeye tuu.

Njia ni nyingi zakujicontrol, ukimkumbuka masta...Suluhisho .. Wanaume ndio hawawezi. Me km nampenda mwenzangu basi hata nikiwa na mtu sipatistim ya mcholingo wa mwingine kabisaa. Taswira inayonijia ni ya yule nnaempenda.


Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana n mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenz ya namna hii
 
to the small extend it works coz sisi tunaweza kuvumilia hata mwaka mzima ila ME ni swala lingine kabisaaaaaaaaaaaaaaa lazima atachepuka
 
Back
Top Bottom