nadiegirlie
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 573
- 851
True true. ........... by the way I'm your sister not your brother [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yes! Yani ishu iko kwenye lengo tu la mtu na hivyo moyo wa mtu kichaka ni noma zaidi!
Inawezekana yupo sahih pia hutegemea na uzito wa ayo mausiano ..Natolea mfano wa Dar to Mbeya kwa bus ni almost masaa 13 hadi kumi na nne lakini kwa ndege ni 1hr na 45min labda 2hrs sasa hii hapa mtu si anamfuata mpenzi wake anaspend day anageuza na ndege ya jioni na anafika kwake.Kuna mtu kaongelea amount of money ndio inadetermine long distance relationship ina maana yupo sahihi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu chumba cha piliInawezekana yupo sahih pia hutegemea na uzito wa ayo mausiano ..
Kuna mausiano ukisema utumie ndege unatamani ata kuwe na usafiri mwengine wa haraka zaidi ya ndege bila kujali gharama ..
Kuna mausiano mengine ata kutumia daladala tu unajifikiria Mara mbili mbili
Kwaiyo haya Mambo Yana depends na thamani ya mtu unae deal nae .. unampenda , kumthamini , kumjali , kumueshi kias gani .. inshort penzi lenu linauzito kias gani ... Kama aifiki ata kilo 1 Bas ata uki date na mtu yupo chumba Cha pili kutoka kwako bado utaona Ni Long distance .. [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu chumba cha pili
Vilevile upo sahihi ndio maana hata sisi tulikuwa tunaongelea yale mahusiano ambayo mnaohusiana mnajua yanahusiana na nini sio ya upande wa pili mpo Kama hampo hamjui mnahusiana nini ndio maana hata chumbani cha pili utakiona mbali
[emoji16] ndoivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu chumba cha pili
Vilevile upo sahihi ndio maana hata sisi tulikuwa tunaongelea yale mahusiano ambayo mnaohusiana mnajua yanahusiana na nini sio ya upande wa pili mpo Kama hampo hamjui mnahusiana nini ndio maana hata chumbani cha pili utakiona mbali
Sorry sikupita pale profile☺️ but nimerirekebisha nowTrue true. ........... by the way I'm your sister not your brother [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kilomi Kilomi Kilomi Kilomi Kilomi Kilomi KILOMITAAAAAAA...Eti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship?
Nawasilisha.
[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]haki we kiumbe eti inafanyaje?mmmh hii ni Kwa zamani siku hizi Bluetooth inapair na new device. Utasikia triiii Bluetooth is connected
triii Bluetooth is considered[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]haki we kiumbe eti inafanyaje?
Eti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship?
Nawasilisha.
Ni vizuri kuelewa tafsiri ya kisasa ya distance sio “physical” distance tena kama zamani ndio maana unauliza kilometer.Eti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship?
Nawasilisha.
Kuna typo hapo: *COMMUNICATIONNi vizuri kuelewa tafsiri ya kisasa ya distance sio “physical” distance tena kama zamani ndio maana unauliza kilometer.
Distance kwa tafsiri ya kisasa kama ukisoma relationship theories ni “CUMMUNICATION GAP”. Hii maana yake ni kuwa hata kama mnaishi nyumba na room na kitanda kimoja, kama hamna honest and loving communication yaani hapo phenomenally mko a thousand kilometers distant apart. Na haya mambo yapo.
Nilikuwa nachomekea kidogo tu😊
NAKAZIAThe distance between two lovers is determined by the amount of money owned by the male party.. ceteris paribus
Unazungumzia miezi sita mpaka mwaka na watu tuna miaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwahio we hutafunwi huko uliko? Mtoto wa kike ukae na Ngunga miezi 6 mpaka mwaka hujaguswa?😅
197 kmEti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship?
Nawasilisha.