Long distance relationship huanzia kilometa ngapi?

Expert himself
 
Kweli mkuu ila alihofia sana relationship kuishia njiani, akawa mgumu kukubali, mimi nikamaanisha. Hatimaye kazi ikaisha.

Uaminifu kwa pande zote ni muhimu sana katika kutengeneza bond imara
Ndio nasema ulibahatika kuwa na mtu ambaye amefika alfa na omega anataka mume serious! Tunasema ni wakati wa Mungu ulifika tu.

Ila kwa wale ambao bado wana muda na nafasi ya kuchezea mahusiano ukikaa nae mbali lazima ataharibu tu utakuta ameshaanza kukusaliti. Hata kama akupende vipi tamaa huwa zinawamaliza
 
Natolea mfano wa Dar to Mbeya kwa bus ni almost masaa 13 hadi kumi na nne lakini kwa ndege ni 1hr na 45min labda 2hrs sasa hii hapa mtu si anamfuata mpenzi wake anaspend day anageuza na ndege ya jioni na anafika kwake.Kuna mtu kaongelea amount of money ndio inadetermine long distance relationship ina maana yupo sahihi??
 
Kwahio we malengo yako ulioweka ni kuwa usitafunwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hebu kuwa serious!
hapana Extrovert, malengo mengine tu ,,,hahahahahha hebu kuwa serious bhana!!!! read between the lines

una vijimambo sana
Ahsante kwa muongozo wa bitwini laini
hahahahh ambia na Extrovert apitie hapa
 
Hahahahaha yupo sahihi ila it works in some instances!

Kwenye upande wa LDR substance kubwa ni chemistry baina yenu wapenzi na uaminifu baina yenu ndio utayapa uhai mahusiano hasa mkiwa na mawasiliano ya karibu. Ukipata patner ambaye ana keep it real jua kabisa kuwa uhusiano utadumu sana tu.Huyu anakuwa amekupenda au mmependana kwa dhati!

Tukija kwenye pesa hii ni kwa team maslahi ya mahusiano, wale wanaothamini monetary benefits kuliko utu wa mtu ndio ambao kwao pesa ni kitu cha maana kwao! Unapokutana na mtu kama huyu kwenye mahusiano kukusaliti ni easy tu hasa ukiwa mbali. Hawakuheshimu as a person so ni pesa tu mwenye nazo anajitafunia mzigo. Ukija sanuka mnapigana chini life linasonga.
 
Long distance relationship ni ile ambayo raia wanakupigia simu kuwa demu wako kaingiza mwanaume nyumbani kwake halafu ukiamua kutoka muda huo ulipoambiwa mpaka ukifika unakuta mwanaume keshamega kapikiwa kala na kaondoka pia demu kashaoga kajipumzisha keshasahau hata tukio. Hiyo ndio long distance relationship
 
Nimekuelewa sana chemistry ni muhimu kwenye mahusiano na mkiwa na chemistry lazima mawasiliano yawepo kitu ambacho nadhani ndio cha muhimu zaidi kwenye LDR kwa sababu mkiwa mbali then hamna mawasiliano hapo hamna uhusiano.
Upande wa wanaoangalia hela tuseme tu "to each their own"hawa wanafuata hela hawafuati mapenzi ndio maana wakiwa mbali na wenza wao cheating ni rahisi sana kwao
 
Yes! Yani ishu iko kwenye lengo tu la mtu na hivyo moyo wa mtu kichaka ni noma zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…