oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
- Thread starter
-
- #121
Endapo unafikiria wewe peke yako ndo hupatwa na upweke hata usiwaze sana mkuu, sisi kama binadamu kuna wakati kila mmoja wetu hukumbwa na upweke katika maisha yetu , Muhimu fahamu njia sahihi na stahiki za kupambana na huo upweke wako inasaidia sanaa
Loneliness can lead to depress mzee makinikaKuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.
Zero IQ una roho nzuri saaana.
Unafikiri watu kushinda Bar unacheki EPL,Laliga na UEFA hadi saa saba usiku kwamba tunapenda? kote ni kuitafuta furaha tu.....upweke huleta maradhi mengi
Hivi unajua kuna mda unaweza kukaa huko kote vikakuboa, yaani ukaona kama dunia haiendi.Karne hii unakuaje mpweke sema labda kihisia (mahusiano) ila kama kampani mbona vitu vingi mkuu.. Tena kazi unayo just unga ma bundle ya kutosha zama you tube cheki komedi za kina joti, Churchill show, bad boys, au tafuta video games pes 19 au fifa 19 hapo huwezi kua mpweke labda uwe umetupiwa jini domozege.
Sure! Sometimes uko mpweke hata kula hutamani ila dawa ni pombe au tendo la ndoa tu,mood inakuja na akili inakaa sawa...Hivi unajua kuna mda unaweza kukaa huko kote vikakuboa, yaani ukaona kama dunia haiendi.
Hivi unajua kuna mda unaweza kukaa huko kote vikakuboa, yaani ukaona kama dunia haiendi.
Loneliness can lead to depress mzee makinika
Ni vizuri pia ujue sababu ya kua hvyo isijekua aloneness ndo inayokukumba na si loneliness kwa maana ya lonely ya miss kitu
Sure! Sometimes uko mpweke hata kula hutamani ila dawa ni pombe au tendo la ndoa tu,mood inakuja na akili inakaa sawa...
Hivi unajua kuna mda unaweza kukaa huko kote vikakuboa, yaani ukaona kama dunia haiendi.
😅 😅 Kabisa yani.Na msim umeisha tutachek hata ndondi kuliko kukaa ndani kama utumbo
Loneliness can lead to depress mzee makinika
Ni vizuri pia ujue sababu ya kua hvyo isijekua aloneness ndo inayokukumba na si loneliness kwa maana ya lonely ya miss kitu
PoleHahahahahaha . Nahisi na hicho kimechangia
And ten match ban for biting just like suarezThis means, I will receive straight red card?
Call me babe, nimetoka kupigwa ban si mdaAm lonely too
Call me babe, nimetoka kupigwa ban si mda
Yaani we acha, simu yake iliharibika jana akanipa leo nikamtengenezee sasa baada ya kuichukua kwa fundi nikasema ngija nichungulie whatsapp lahaulaaaa.... najutaaaYaani hujipi hata muda?
Nimemrudishia then nikamwambia its overYaani hujipi hata muda?
Mshamba sana huyo demu wako, si angepeleka mwenyewe kwa fundi? Anyway hayanihusu. Pole sanaYaani we acha, simu yake iliharibika jana akanipa leo nikamtengenezee sasa baada ya kuichukua kwa fundi nikasema ngija nichungulie whatsapp lahaulaaaa.... najutaaa
Kwaiyoo, nakuja PM unipe japo kampani maana hapa nimetoka job nimechoooma na nilivyokutana na hiki kimbwanga ndo baasi tena full kuchokaMshamba sana huyo demu wako, si angepeleka mwenyewe kwa fundi? Anyway hayanihusu. Pole sana