oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
Zero IQ una roho nzuri saaana.Pole sana mkuu nipe location yako nikutumie mtoto mmoja makini kuhusu pay nitalipia mimi
Niliyojaliwa na mumba mkuuZero IQ una roho nzuri saaana.
Muulize location yake labda utaweza kuongea lugha mojaAm lonely too
Naweza fika huko nikapata maumivu zaidi ya haya niliyonayo sasa hiviMuulize location yake labda utaweza kuongea lugha moja
Naweza fika huko nikapata maumivu zaidi ya haya niliyonayo sasa hivi
Pole sana mkuu nipe location yako nikutumie mtoto mmoja makini kuhusu pay nitalipia mimi
AsantePolee! Miss
Zero IQ una roho nzuri saaana.
Niliyojaliwa na mumba mkuu
Karibu!Asante
Like charges repels each other.....Am lonely too
Usihofu utampata tu mpweke mwenzio mtoe upweke, kuna watu watafikiri wanaume/wanawake wote upweke unatoka wapi? kumbe mambo si kama wanavyo ya chukulia
Mbona mnasemaga wanawake ni wengi kwa nini usioe mkuu?
Ukirudi home unakuta yupo kukusubiri mnapiga story mnacheza mnataniana hapo vipi?
Sijasema natafuta. Unaweza ukawa na mpenzi lkn upweke upo pale paleLike charges repels each other.....
Mpweke asitafute mpweke mwenzake mtakufa siku si zenu nyie vijana