oscar mwankina
Senior Member
- Feb 10, 2013
- 187
- 118
Kuna nyakati na siku kama wiki hii huwa najisikia upweke kiasi kwamba naingiwa na roho yakujichukia na pia nakuwa mtu wa hasira sana.
licha yakuwa na elimu na kazi huwa mara nyingi huwa nakosa mtu wakuongea nae nikiwa home kiasi kwamba ikitokea hivyo hata kupika au kutazama TV nashindwa.
Isingekuwa kushika sana Dini na Mungu wangu ningejikuta nakunywa au kuzurula ili kupata kampany.
Loneliness knows my name.
Upweke unaathiri sana, Pia maumivi yake ni makubwa maana it's psychological torture.
Nakosa nguvu ya kuendelea.