"It is time for a new vision of engagement that meets Somalis' immediate and future needs, while providing the space for a negotiated peace process that puts Somalia on the road to recovery. Those attending the London Somalia Conference must seize this opportunity and help start the process to address the causes of the conflict in Somalia and put the interests and aspirations of the Somali people centre stage," said Barbara Stocking, Chief Executive, Oxfam. Source
Hii vita ya Somalia iishe sasa...
Nilisoma Oxfam wanapendekeza a shift in focus for a long term solution (kwamba too much attention is given to security and counter terrosism na watu wanasahaulika)..:
Mi toka nipate ufaham wa kuelewa kinachoendelea nje ya nyumbani naijua Somalia ikiwa vitani tu!Yea, kuna umuhimu wa ku-address the root causes za mgogoro and look for long terms solutions. Somalia ni zaidi ya tuijuavyo. Ni Afghanistan ya Afrika.
Mi toka nipate ufaham wa kuelewa kinachoendelea nje ya nyumbani naijua Somalia ikiwa vitani tu!
Niliwahi kukutana na mwanamke wa kisomali, very open minded, a medical doctor.
NIlishangaa sana coz kichwani mwangu nimesha jenga picha ya wanawake wa kisomali wakiwa wenye maisha magumu, wanaolewa mapema, hawasomi, wanazaa kila mwaka, prisoners of the male extremists who dictate their views on the society.
Hapo ndipo nilipoelewa kua we know nothing about them, zaidi ya hiyo vita na images tunazo pata from TV...
Ningeweza ningefika kuwasikiliza wanacho sema huko...
Asante EMT kwa hii taarifa - baadaye nitakuPM. Nimekuwa nikifuatilia huu mkasa wa vita vya Somalia na magaidi kwa karibu sana. Mawazo yangu ni kuwa amani ya kweli ya Somalia haitapatikana London au popote pale nje ya Somalia. Wafadhili na wanaoihurumia Somalia watatoa chembe ya misaada na kuwaunga mkono, lakini Wasomali wenyewe ndio wanapaswa kutatua huu mgogoro.
The UK will host the London conference on Somalia on 23 February. We have secured senior attendance from the region, including from Ethiopia, Kenya and Uganda, as well as from the United States, Turkey, the United Arab Emirates, Sweden, the African Union and the European Union. The UN Secretary-General Ban Ki-moon will attend.
All together we expect around 40 governments to be represented, along with those multi-lateral organisations already mentioned, plus the World Bank, the Inter-Governmental Authority for Development, the Organisation of Islamic Conference, and the League of Arab States.
Representatives from Somalia will attend, including the leaders of the transitional federal institutions; the Mayor of Mogadishu, the Presidents of Puntland and Galmudug; and representatives of Aluh Sunnah wal Jamaah. The President of Somaliland will attend, and we welcome the experience that Somaliland can provide of peace building in the region.
The international community hopes to agree a series of practical measures including security, piracy, political process, counter-terrorism, local stability, humanitarian and international coordination.
More: Conference details
Walimwengu tumekuwa watu wa ajabu tangu dunia imeumbwa. Attention kubwa iko kwenye security matters kwa sababu kuna vita, na kukiwa na vita viwanda vya silaha ndipo vinapofanya biashara vizuri. "Let them kill each other as long as we sell them the weapons". Sasa watu wenye mawazo namna hii, hawajali kusahau (na hata kufurahia) mateso ya watu (hasa wanawake na watoto wasio hatia", almuradi tu watu wanauza silaha zao.Hii vita ya Somalia iishe sasa...
Nilisoma Oxfam wanapendekeza a shift in focus for a long term solution (kwamba too much attention is given to security and counter terrosism na watu wanasahaulika)..:
Ni kweli Mkuu, ingawa tafauti sio kubwa sana. Shilingi 1 ya Somalia = Tzs 0.95 (approx.), na SOS 1 = USD0.00060 wakati TZs 1= USD 0.00062.Nasikia pesa ya Somalia ina dhamani zaidi ya shilingi yetu.
Nimejaribu haraka online, it is almost the same mkuu:Nasikia pesa ya Somalia ina dhamani zaidi ya shilingi yetu.
NImejaribu kufatilia ili nijue outcome ni nini hasa: haya nimeyatoa International Crisis Group Blog (they will attend too, of course):Walimwengu tumekuwa watu wa ajabu tangu dunia imeumbwa. Attention kubwa iko kwenye security matters kwa sababu kuna vita, na kukiwa na vita viwanda vya silaha ndipo vinapofanya biashara vizuri. "Let them kill each other as long as we sell them the weapons". Sasa watu wenye mawazo namna hii, hawajali kusahau (na hata kufurahia) mateso ya watu (hasa wanawake na watoto wasio hatia", almuradi tu watu wanauza silaha zao.
Juzi nilisoma ripoti moja viongozi wa Somalia wanaomba waondolewe vikwazo vya silaha badala ya kutafuta mbinu za makubaliano baina ya waasi, "mabwana wa vita", na makundi ya koo na makabila ili vita iishe.
Leaders are seeking to capitalise on the recent weakening of Al Shabaab, the Islamist group allied to Al Qaeda. They also hope to take advantage of increased international attention on Somalia due to ongoing piracy and last year's famine in the Horn of Africa, which is only slowly relaxing its grip and has thus far left 3.2 million in need of life-saving assistance.
Expectations for the one-day event are high. British Foreign Minister William Hague has said the conference comes at a "moment of opportunity". Somalia's Prime Minister Abdiweli Mohamed Ali wants the conference to produce a "Marshall Plan" for the war-torn country. High hopes for a grand political, security, or development strategy for Somalia's complex problems are, however, bound to be dashed. More likely to emerge is an incremental strategy that leaves the door open for further engagement and, hopefully, an eventual political solution.
International consensus is coalescing around a refusal to extend the mandate of the Transitional Federal Government (TFG) – a body long riven by internal divisions and corruption – when its current term ends in August. What happens when TFG disbands, and the political structures that replace it, will be critical to whether Somalia can lift itself out of chaos.
Yeah, it draws parallels to 18th Century colonialist strategies! Waafrica tunamepigwa mazingaombwe na kujiona kama vile tuko huru wakati ukweli ni kwamba serikali zetu bado ni vibaraka wa magh'ribi. Matatizo yetu eti ni lazima yatatuliwe na wazungu. Duhu!........Kicheksho sana.....eti Mkutano wa Kujadili Hali ya SomaliA unafanyika London...........!!!!???
Yeah, it draws parallels to 18th Century colonialist strategies! Waafrica tunamepigwa mazingaombwe na kujiona kama vile tuko huru wakati ukweli ni kwamba serikali zetu bado ni vibaraka wa magh'ribi. Matatizo yetu eti ni lazima yatatuliwe na wazungu. Duhu!
........Kicheksho sana.....eti Mkutano wa Kujadili Hali ya SomaliA unafanyika London...........!!!!???
Mi toka nipate ufaham wa kuelewa kinachoendelea nje ya nyumbani naijua Somalia ikiwa vitani tu!
Niliwahi kukutana na mwanamke wa kisomali, very open minded, a medical doctor.
NIlishangaa sana coz kichwani mwangu nimesha jenga picha ya wanawake wa kisomali wakiwa wenye maisha magumu, wanaolewa mapema, hawasomi, wanazaa kila mwaka, prisoners of the male extremists who dictate their views on the society.
Hapo ndipo nilipoelewa kua we know nothing about them, zaidi ya hiyo vita na images tunazo pata from TV...
Ningeweza ningefika kuwasikiliza wanacho sema huko...
Kama unamjua mtu BOT muulize mkopo wetu wa kwanza IMF/World Bank tulidhaminiwa na Somalia miaka ya 80 lol!Nimejaribu haraka online, it is almost the same mkuu:1tsh=1.02 Somali shilling...But this is an eye opener kwangu... kama pesa yao inathamani kama ya TZ after all this time, itakuaje waki-stabilize nchi yao?
Is it??? Uchumi wao unategemea nini zaidi? mi hata siijui vizuri hii nchi. Ngoja nisome Wikipedia kwanza:Kama unamjua mtu BOT muulize mkopo wetu wa kwanza IMF/World Bank tulidhaminiwa na Somalia miaka ya 80 lol!
Unakumbuka wale samaki wa 'Magufuli' ? Somalia badala ya kuibiwa wanavua wenyewe na kuuza Ulaya,pia huuza nyama/ngozi uarabuni kote bila ushuru kwakuwa wako Arab league na huwezi amini wanasafirisha ndizi mbivu Ulaya nzima wakishindana na Carribean na America ya kati nimezila Uswisi.Is it??? Uchumi wao unategemea nini zaidi? mi hata siijui vizuri hii nchi. Ngoja nisome kwanza.
Asante EMT kwa hii taarifa - baadaye nitakuPM. Nimekuwa nikifuatilia huu mkasa wa vita vya Somalia na magaidi kwa karibu sana. Mawazo yangu ni kuwa amani ya kweli ya Somalia haitapatikana London au popote pale nje ya Somalia. Wafadhili na wanaoihurumia Somalia watatoa chembe ya misaada na kuwaunga mkono, lakini Wasomali wenyewe ndio wanapaswa kutatua huu mgogoro.