Aisee ile perfomance ya Mo Farah kwenye 5,000 na 10,000 ilikuwa kiboko halafu furaha ya PM Cameroun uwanjani huku akirukaruka kama mtoto aliyeonyeshwa peremende ππ ilinifurahisha sana. Usain Bolt ni kiboko jamaa amejizolea umaarufu mkubwa sana duniani. Akiweza kuepuka kuumia na kujiweka fit kwa miaka mingine minne basi anaweza kuvunja tena rekodi ya Olympics au hata ya dunia kule Rio De Janeiro, Brazil.
kwenye same event kuna men's marathon medal ceremony na wanavishwa medali na IOC president.. Uganda is shinning all the wayyyyyyy!! Magnificent...Wimbo wa Taifa wa Uganda unavutia kweli!!