Lolipop to marshmallow

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,261
Wakuu ni matumaini yangu mko poa wote..shida yangu ni moja naombeni msaada wenu nataka kudownload formware ya android marshmallow ikiwa kwenye mfumo wa zipped file coz nataka niupgrade OS kutoka lolipop 5.0.2 kwenda marshmallow..so mwenye link au anae weza nipatia link ambayo nitapata iyo OS Iwe ni official verified kutoka kwa agent anaye aminika e.g TECNO wenyewe anisaidie ...plz



Nawasilisha.
 
Unatakiwa uweke hapa model ya simu...
Sio kila firmware inaingia kwenye simu yeyote
 
Maelezo hayajitoshelezi. Hujasema ni aina gani/model ipi ya simu? (Tecno)
 
Ingekuwa ni samsung it could be so easier and so fast within fww minutes, kwa Techno sifaham kwakweli...sijawahi fuatilia..
 
Ingekuwa ni samsung it could be so easier and so fast within fww minutes, kwa Techno sifaham kwakweli...sijawahi fuatilia..
Mkuu mimi samsung nataka niupgrade pls nielekeze model SM-G925F
 
Unatumia Tecno gani???
 
Ni vyema ujue marshmallow ina kitu gani cha ziada chenye faida kwako,au ni ushabiki tuu!
 
Oya oyaaa nmepata solution imekubali simu ni Tecno C8 na Jana nmeupgrade tayr na simu iko vizur kupita maelezo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…