Loliondo

Ushasema babu wa loliondo halafu unauliza yupo wapi tena,atakuwa na majibu zaidi yeye mwenyewe.
 
yupo, amesizi tu anasubiria wote walioenda kunywa dawa kwake wafe. si unajua kuwa WOTE WALIOKUNYWA DAWA YAKE watakufa mmoja baada ya mwingine, unaambiwa hatapona hata mmoja, wengi sasaivi tayari wameshatangulia mbele ya haki....hapo sasa...
 
yupo, amesizi tu anasubiria wote walioenda kunywa dawa kwake wafe. si unajua kuwa WOTE WALIOKUNYWA DAWA YAKE watakufa mmoja baada ya mwingine, unaambiwa hatapona hata mmoja, wengi saivi tayari wameshatangulia mbele ya haki....hapo sasa...
. ni kweli kidogo, sababu wote waliokwenda Muhimbili, KCMC, Amana, Peramiho, Ocean Road, AgaKhan, TMJ, Bugando, India, South Africa, etc wamerudi salama. (Akili mu kichwa)
 
Halafu nasikia watu wanaendaga kwake mpaka leo.
Na mdadasha habari hii amesema Babu amesema ameoteshwa na MUNGU ya kwmb mafuriko ya watu bado yatakuja mara dufu!

Kazi kweli kweli!
 
Waandishi wa habari walimbeba sana na hatimaye wamemtupa. Sijui na wao walipata manufaa gani wakati alivyokuwa na jina.
 
Back
Top Bottom