sasa sendeka ameingiaje hapa? maji taka.
Unauliza Sendeka ameingiaje JF au amesalitije wana Loliondo? Kamuulize!!!
Kwa hiyo watu wa manzese sio wananchi sio......????? unafikiri kwa kutumia masaburi sio????Tatizo lako unadhani chadema wako interested na kuboresha maisha wa wananchi!
Unafikiri hilo tatizo lingekuwa Manzese wangekaa kimya?
Kwa hiyo watu wa manzese sio wananchi sio......????? unafikiri kwa kutumia masaburi sio????
Tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi. Viongozi ndio wanaowaangusha Watanzania.