Wakenya kwa komedi ni noma aisee! Hiki kipiece kiko kwenye series gani mleta thread?
Yaani jamaa anapoteza muda kununua vitu viiiingi kumbe ni gia tu demu aondoke ili anunue kondom! Inachekesha kwa kweli.