logical thinking

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
swali la msingi sana nalojiuliza mimi, kama watu wanailaani serikali kwa kutaka kumuua mtu anayeongoza mapambano ya kutaka serikali iwaongezee pesa (kama wanavyodai kwamba serikali inahusika), Kwanini pia hawamlaumu huyu mtu kwa kushirikiana na wenzake kuwaua watanzania wenzao (kwa migomo) kutokana na sababu hiyo hiyo ya fedha
 
TUNAELEKEA KUBAYA,ni muda muafaka sasa kumurudia Bwana Mungu wetu maana nadharia nyingi zitaletwa kuhusu jambo hili nyeti kwa sasa lakini kwa akili za damu na nyama hatutapata jibu! Yaani sijui Watanzania tumelogwa na nani?Mambo nyeti kama haya lazima tujitahidi kutumia busara na hekima kuya tuckle maana kuna misleading and misinterpretation vinaweza tusumbua tusipokuwa makini. MUNGU na atuongoze juu ya jambo hili nyeti
 
Back
Top Bottom