Logic ya Kuunda Mikoa Mipya ilikuwa ni kiini macho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Logic ya Kuunda Mikoa Mipya ilikuwa ni kiini macho?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Duble Chris, Jun 8, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mikoa mipya ya; KATAVI, SHIMIWI ,NJOMBE (aka NJOLUMA) ilitangazwa kuundwa nimeshitushwa na taarifa kuwa mikoa hiyo hata kwenye budget hii haina fungu kwa mantiki ya kwamba haijulikani.

  Waziri mhusika anapoulizwa anajibu kuwa mh. Rais hajatangaza rasmi kwamba inaanza kazi, Maswali mengi tunajiuliza:
  -Hivi hadi wanatangaza azimio la kugawa mikoa hiyo logic ilikuwa ni nini?

  -Hadi sasa ni mwaka umepita tangu azimio la kuunda mikoa hii litangazwe kwa nini fedha hazijategwa hadi Waziri anasema Rais atakatangaza ndipo fedha za uendeshaji mikoa hii itakapo TAFUTWA?

  - Uunwaji wa mikoa hii unafaida yoyote kwa WTZ, kama ndiyo kwa nini hatuipi kipao mbele ? kama hapana kwa nini tulitangaza mapema na kuitaja hadi mipaka yake na makao makuu ya mikoa?

  - Kama hakuna ulazima bora tukaipotezea AU tufuate Sera ya kuwa na majimbo badala ya utitiri wa mikoa ambayo hatuna uwezo wa uitengea budget husika kwa wakati muafaka !!!!!!!!!!
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Sharobaro JK alitoa rushwa ya kutangaza mikoa mipya kwa wakazi wa maeneo hayo lakini kiuchumi haina mashiko
   
 3. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  O . K Sasa nimeelewa lengo lilikuwa nikukubalika kwenye uchaguzi Aaaaahhh !!!!!!!!!!!! Hii kali
   
 4. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Katika Tanzania maajabu ni mengi zaidi ya hayo. Tutaendelea kuyaona.
   
 5. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Kwajinsi Wakuu wa Mikoa mingi wanavyofanya kazi nimekua siku zote nikijiuliza "kuna umuhimu gani wa kuwa nao?" Nimeona wakuu hawa hasa wale wabunge wakiwa nje ya vituo vya kazi kwa muda mrefu sana na wengine sijui wameshaondolewa katika kazi hizo maana hawajakanyaga mikoani tangu baada ya uchaguzi. Ukijumlisha na hili la kutaja majina na kugawa mipaka ya mikoa kwa mithili ya alivyofanya Bismark na wenzie kwa Afrika, kunaongezea katika ukweli huo kwamba mikoa na wakuu wake haina uhusiano wowote na utendaji wa serikali bali siasa ambazo kwa mwananchi maskini wa Tanzanini zina muongezea mzigo ambao tayari umeshamshinda kuumudu.
   
 6. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ze comedy
   
 7. M

  MPG JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete anadanganywa na washauri wake kwasasbabu ya ubishoo wake umemzidi
   
 8. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nitarudi kuchangia...
   
 9. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  tena orijino fulu.
   
Loading...