Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,225
Reaction score
14,835
huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ...

1763879677188.png

Ricardo nolasco dos santos (rip)
1763879893205.png
 
Kuna uwezekano ulikuwa na point ya msingi, tatizo uwasilishaji.
 
huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ...

View attachment 3506183

Ricardo nolasco dos santos (rip)
View attachment 3506186
Hik inaenda kinyume na masculinity kabisa.

Mwanaume unapigaje goti wakati wewe ndio kiomgozi,goti anatakiwa apige mke.

Kuna makabila wakawake wakiamkia wanapiga goti, wanaume sidhani kama wanafanya hivyo.

Tatizo sio kuyafanya hayo, tatizo ni kufanya hayo hapa Bongo wakati sio tamaduni zetu..
 
huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ...

View attachment 3506183

Ricardo nolasco dos santos (rip)
View attachment 3506186
Haya majitu huwa yote vibamia licha ya hiyo misuli yao ya booster na steroids. Kwanza hayapendezi halafu mengi yao hayavuki 40 yrs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom