LODRIGO DUTERTE: Kati ya wamarekani watano watatu ni wajinga(Idiots)

ni sawa tatizo ni kubwa but ubaya wa extra judicial killings mara nying wasiohusika pia nao huuwawa...so ni vyema hili jambo kutazamwa kwa namna mbalimbali
nakupata mkuu, ukiishaingia huko nje ya sheria kuna mwanya wa kuwashughulikia na wanaokupinga hata kama wako sahihi.
Lakini huyu jamaa hajatokea tu kama dodo chini ya mbuyu, Alikuwa meya wa Davao, Sera zake ni hizohizo za kutowavumilia waarifu. Angekuwa hafai kabisa au anavisasi asingechaguliwa kuwa rais nadhani.
duterte-duote1.jpg
 
nakupata mkuu, ukiishaingia huko nje ya sheria
jamaa anafaa tena sana tu na kiukweli hii issue ya drugs ni wananchi wengi wa ufilipino wamechoka na wamekua wakihiotaji mtu kama yeye.....ila haya mauaji ya holela mhhh too much aisee ndani ya miez mitatu watu elfu kadhaa wameuliwa bila hata kuiona mahakama anyway labda ndo only way
 
ninaona kila nchi inastaili yake tofauti na sisi huko vikundi vya kivita kila kona, hata yeye anawashangaa vijana eti wanajua kuchat sana facebook na twitter huku hawajui hata kushika bunduki.
Ila hoja anajenga anasema Hitler aliua wayahudi 3Millioni (Holocaust ) wakati yeye nchi yake watu Millioni tatu ni mateja na ni kama wameuliwa maishani na hao dealers. Sasa anaishangaa dunia kuwatetea wauza madawa ya kulevya huku wanamchukia hitler
 
Duuh mbona kwenye raman n far sana toka china??
Au ubabe

Okay
ndo hvyo mkuu hata kwa macho tu bila vipimo unaweza kuona ile ni mali ya phillipines sasa na kwa hii stance yake kwa china ndo kama anabariki vile wanazidi kujiweka kwe weak bargaining position kwe huo mgogoro....
 
ninaona kila nchi inastaili yake tofauti na sisi huko vikundi vya kivita kila kona, hata yeye anawashangaa vijana eti wanajua kuchat sana facebook na twitter huku hawajui hata kushika bunduki.
Ila hoja anajenga anasema Hitler aliua wayahudi 3Millioni (Holocaust ) wakati yeye nchi yake watu Millioni tatu ni mateja na ni kama wameuliwa maishani na hao dealers. Sasa anaishangaa dunia kuwatetea wauza madawa ya kulevya huku wanamchukia hitler
hahaha enzi za WW2 ndo kulikua na viongoz weng wenye akili kama za huyu jamaa sasa hivi wameadimika sana
 
ndo hvyo mkuu hata kwa macho tu bila vipimo unaweza kuona ile ni mali ya phillipines sasa na kwa hii stance yake kwa china ndo kama anabariki vile wanazidi kujiweka kwe weak bargaining position kwe huo mgogoro....
Okay
Na huko south china kuna mgogoro gan kuna place umeitaja juu hapo??
 
they will kill him nakwambia Mossad watafanya yao we subiri uone tu
Ni kitendo cha kusubiri tu ila jamaa hana maisha marefu, nikikumbuka kauli ya Obama kuhusu Russia na kilichokuja kutokea bila Shaka huyu nae yupo kwenye list, half uzuri WA marekan wakishakupoteza wanaweka kibaraka wao ni vile ashukuru tu hana mafuta, dhahabu au almasi coz angekua kashasepeshwa siku nying chzea CIA, M16,MOSSAD, etc wewe.
 
Hiyo CIA unayoisema wewe sio chini ya huyu Mchizi Trump....

Nazani unampata fresh.....
Wewe huijui U S A sawa sawa. When it comes to whoever trying to shake their Pride,National Interest, haijalishi sera za POTUS aliyepo wakati huo. Mfano, BO alisema ataifunga Guantanamo with his first 100 day in WH, lakini hadi leo Guantanamo ipo hai, na ina-operate.
Kwahiyo Duterte better mind his Pracking ass,
 
hivi mmarekani anapo kuwa busy kumkomalia rais wa ufilipino asiwaue wauza madawa ya kulevya kwani mmarekani yeye ndio analiwasha.
na kwanini akomae kihivyo na wakati yeye mmarekani kila siku anaua watu.
 
(CNN)Filipino President Rodrigo Duterte insulted and threatened to leave the United Nations in response to criticism of his approach to drug crime since taking office.

The pugnacious new leader made the comments in a speech Sunday in Davao City, the southern Filipino city where he served as mayor for over two decades.

'Philippines stumbling towards dangerous isolation'

"Maybe we'll just have to decide to separate from the United Nations," he said in English during the address.
"If you are that insulting, son of a bitch, we should just leave," he said then in Tagalog, according to a translation by CNN affiliate CNN Philippines. "Take us out of your organization. You have done nothing anyway."
He accused the UN of ignoring the plight of the country.
"When were you here last time? Nothing. Never. Except to criticize."
160818224329-philippines-duterte-war-on-drugs-watson-pkg-00002607-medium-plus-169.jpg

A brutal war on drugs in the Philippines 03:24
The comments come days after the UN urged Duterte's administration to step back from its violent approach to drug crime.
The crackdown since Duterte took office in late June has seen over 650 police killings -- deaths Duterte and his top police officer, Roland Dela Rosa, say are justified self-defense killings -- alongside as many as 900 unexplained murders perpetrated by suspected vigilantes.
Duterte has also publicly accused dozens of officials and politicians of being involved in the drug trade.
 
Ni kitendo cha kusubiri tu ila jamaa hana maisha marefu, nikikumbuka kauli ya Obama kuhusu Russia na kilichokuja kutokea bila Shaka huyu nae yupo kwenye list, half uzuri WA marekan wakishakupoteza wanaweka kibaraka wao ni vile ashukuru tu hana mafuta, dhahabu au almasi coz angekua kashasepeshwa siku nying chzea CIA, M16,MOSSAD, etc wewe.
China&Russia hawawezi kukubali
 
Wewe huijui U S A sawa sawa. When it comes to whoever trying to shake their Pride,National Interest, haijalishi sera za POTUS aliyepo wakati huo. Mfano, BO alisema ataifunga Guantanamo with his first 100 day in WH, lakini hadi leo Guantanamo ipo hai, na ina-operate.
Kwahiyo Duterte better mind his Pracking ass,
Ndio maana ameweka ties na uchina saizi despite mzozo wa bahari halafu Russia yupo

Intellijensia yake aminifu inafanya kazi

Pia ni kipenzi cha wafilipino
 
Back
Top Bottom