LODRIGO DUTERTE: Kati ya wamarekani watano watatu ni wajinga(Idiots)

Hahahaa., yaani nimemaliza kusoma uzi nikajikuta nimetamka maneno yako uliyoanza kuyaandika., "Mamaaae huyo ndo mwanaume"
Hahahaa hatari sana namkubali sana huyu jamaa.... wale matajiri wana jiita papaa nani sijui wangekuwa washachezea shaba
 
Atakuwa mgonjwa wa akili huyu. Amekiri kuwa alikuwa anaua wauza ngada mwenyewe kwa mkono wake na umoja wa mataifa tayari wameshaanza kumkoromea. Naona wanamwangalia kwanza akizidisha ujinga tu wanamwondoa. Watamtafutia sababu tu na wakionda mubashara ni noma basi wanakwenda covertly!!!
jana tu kamtukana ule mku wa shirika la UN la haki za binadamu,kasema,'he is an idiot'
 
Kwa hiki kizazi kidogo sample km hii ndo inajitahidi kumtunishia kifua marekani.
 
Mmamaeee huyu ndo mwanaume sasa. Bongo na sisi mapapa ya madawa yangeuliwa hadharani basi mateja leo wangepungua sana

Bangi nayo ni madawa ya kulevya. Kumuua mtu kwa kuuza bangi naona haileti maana. Madhara ya bangi naamini si kama ya heroin au cocaine
 
images

"Ang problema kasi sa puti, itong Amerikanong ulol.. [for] every five Americans kasi, ang tatlo diyan idyoto, dalawa lang ang tama ang utak,"

(The problem with these white people, these American blockheads, is that three out of five of them are idiots, and only two are in their right minds.)

Hayo ni maneno ya Rais wa Ufilipino akiwajibu mahasimu wake US wanaomkosoa kwa hatua kali Dhidi ya Wauzaji wa madawa ya kulevya. Hadi sasa wameshauliwa zaidi ya 3000 na wengine kawaua mwenyewe.


Alimalizia Hotuba yake kwa kusema " If you are destroying my county, I will Kill you"

Duniani kuna mambo
source:Duterte: UN rights chief a joker, idiot ‘3 of 5 Americans idiots’,Philippines' Duterte to U.S. over aid: 'Bye-bye America'



Nakubaliana naye na sababu kubwa ni mass migration, Migrants ndiyo wanaoshusha IQ levels ya USA!
 
Jamaa anakuambia kuna 3million addicts

Alisikitika sana vijana 3million wameshapoteza nguvu kazi kubwa

Aliwapa onyo druglords,pushers wajisalimishe wakakataa ndio katoa order

Halafu druglords wanavikundi vyao vya kimafia sasa wakiretaliate ndio wanauliwa vzr


Ase 3million addicts siyo mchezo

Duterte salute kwako
Huyo raisi mwenyewe anahitaji kwenda rehab! Ukimwangilia vizuri utagundua dish limeyumba mbaya.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom