LODRIGO DUTERTE: Kati ya wamarekani watano watatu ni wajinga(Idiots)

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,740
2,000

"Ang problema kasi sa puti, itong Amerikanong ulol.. [for] every five Americans kasi, ang tatlo diyan idyoto, dalawa lang ang tama ang utak,"

(The problem with these white people, these American blockheads, is that three out of five of them are idiots, and only two are in their right minds.)

Hayo ni maneno ya Rais wa Ufilipino akiwajibu mahasimu wake US wanaomkosoa kwa hatua kali Dhidi ya Wauzaji wa madawa ya kulevya. Hadi sasa wameshauliwa zaidi ya 3000 na wengine kawaua mwenyewe.

Alimalizia Hotuba yake kwa kusema " If you are destroying my county, I will Kill you"

Duniani kuna mambo
source:Duterte: UN rights chief a joker, idiot ‘3 of 5 Americans idiots’,Philippines' Duterte to U.S. over aid: 'Bye-bye America'
 
py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,469
2,000
Jamaa anakuambia kuna 3million addicts

Alisikitika sana vijana 3million wameshapoteza nguvu kazi kubwa

Aliwapa onyo druglords,pushers wajisalimishe wakakataa ndio katoa order

Halafu druglords wanavikundi vyao vya kimafia sasa wakiretaliate ndio wanauliwa vzr

Ase 3million addicts siyo mchezo

Duterte salute kwako
 
Huyu jamaa balaa sana, Tatizo dunia nayo huwa inatetea waarifu bila kuangalia unene na uzito wa tatizo.
Anajua anachokifanya, kuna wakati inabidi uwe mkorofi ili mambo yaende, Mateja wote mwisho wa siku wanaishia kuwa mzigo kwa serikali
 
amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
Huyu jamaa balaa sana, Tatizo dunia nayo huwa inatetea waarifu bila kuangalia unene na uzito wa tatizo.
Anajua anachokifanya, kuna wakati inabidi uwe mkorofi ili mambo yaende, Mateja wote mwisho wa siku wanaishia kuwa mzigo kwa serikali
ni sawa tatizo ni kubwa but ubaya wa extra judicial killings mara nying wasiohusika pia nao huuwawa...so ni vyema hili jambo kutazamwa kwa namna mbalimbali
 
Jics

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
234
500
ninachopenda watu wa namna hiyo huwa wanasimamia katika ukweli anaouamini na wengi wanaompinga naona wengi ama wako kisiasa zaidi ili kuyafurahisha baadhi ya mataifa ama hawajui ubaya wa hawa watu wenye roho za kishetani kwa nguvu kazi ya taifa amboo wengi ni vijana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom