LODRIGO DUTERTE: Kati ya wamarekani watano watatu ni wajinga(Idiots)

China&Russia hawawezi kukubali
Kwan Syria,Libya, Iraq, Ukraine zilivyovurugwa Russia alikubali?!, si alikuja kukumbuka shuka kumekucha....Kwani US kaz yake si kufitinisha tu wala huwa hatumii nguvu nyingi, ni akili tu.
 
Je walikuwa na ties na mataifa hayo??

Kwanza fahamu ufilipino ni taifa kubwa pia Duterte ameenda uchina kuweka ties na kasema hana shida na USA kwani urusi yupo

Urusi hawezi kukubali mtu wake aingiliwe

Halafu kingine USA hana uwezo wa kumvamia mtu mpaka un security council wapige veto..China&urusi hawatokubali

Issue ya Libya na Syria walitumia kigezo cha demokrasia na maandamano ya RAIA? Ufilipino watatumia nn

Kingine kuhusu mgogoro wa bahari wa ufilipino ,uchina&urusi na USA wanaugombania

USA akileta chokochoko ufilipino anamuachia mazima China

USA anamuhitaji ufilipino awe ally wake sabb ya bahari hiyo ,ndio maana Duterte kawa jeuri na wanayempa ujeuri ni China&urusi ..USA hawezi kufanya chochote mpk un security council iamue

Hebu tofautisha case ya Arab spring na phillipines na juzi tu alikuwa China

Na Duterte ashasema hajali USA asipomuuzia silaha kwakuwa urusi yupo

South sea inampa kiburi Duterte ..akiamua kumpa China na urusi..USA anahaha asimpoteze ufilipino

Duterte hajali
 
Na inaonyesha huyu Durtete ameshasoma alama za nyakati kuhusu huyu USA.
 
Mmamaeee huyu ndo mwanaume sasa. Bongo na sisi mapapa ya madawa yangeuliwa hadharani basi mateja leo wangepungua sana

Hahahaa., yaani nimemaliza kusoma uzi nikajikuta nimetamka maneno yako uliyoanza kuyaandika., "Mamaaae huyo ndo mwanaume"
 
they will kill him nakwambia Mossad watafanya yao we subiri uone tu
Mossad hua hawa hawa hangaiki na mtu ambae sio threat kwao!!
labda nikuulize umeshawahi sikia uyo jamaa akitoa labda vitisho kwa hao israel??
 
Je walikuwa na ties na mataifa hayo??

Kwanza fahamu ufilipino ni taifa kubwa pia Duterte ameenda uchina kuweka ties na kasema hana shida na USA kwani urusi yupo

Urusi hawezi kukubali mtu wake aingiliwe

Halafu kingine USA hana uwezo wa kumvamia mtu mpaka un security council wapige veto..China&urusi hawatokubali

Issue ya Libya na Syria walitumia kigezo cha demokrasia na maandamano ya RAIA? Ufilipino watatumia nn

Kingine kuhusu mgogoro wa bahari wa ufilipino ,uchina&urusi na USA wanaugombania

USA akileta chokochoko ufilipino anamuachia mazima China

USA anamuhitaji ufilipino awe ally wake sabb ya bahari hiyo ,ndio maana Duterte kawa jeuri na wanayempa ujeuri ni China&urusi ..USA hawezi kufanya chochote mpk un security council iamue

Hebu tofautisha case ya Arab spring na phillipines na juzi tu alikuwa China

Na Duterte ashasema hajali USA asipomuuzia silaha kwakuwa urusi yupo

South sea inampa kiburi Duterte ..akiamua kumpa China na urusi..USA anahaha asimpoteze ufilipino

Duterte hajali
Hv kwa unavyodhan kat ya Philippine na US nan anamhitaj sana mwenzake.... US Ana nini cha kuchukua Philippines may b kuhusu hyo ishu ya bahar hata hvyo south China sea bado US anao washirika wenye nguvu kama Japan, etc... Hyo ufilipino unayoisifia kwamba ni nchi kubwa kwann ilkua inapokea msaada WA mamilioni ya dola from US kwa ajili ya kuboresha uchumi wao.Half hv unadhan China atakuja kuingia vitan na US kisa Philippines sahau kama alimwambia Kim WA north Korea kwamba akianza kuchapwa na US asitegemee full support ya China kama kwenye Korean war,hv unadhan China yupo radhi kiRisk biashara zake na US zinazomwingizia mabilion ya dola kisa Philippines?!, kama kwa Russia tu yupo mguu nje mguu ndan sembuse Philippines. China yeye anahangaika na economy yake hayo majesh ni kulinda interest zake tu.
 
Atakuwa mgonjwa wa akili huyu. Amekiri kuwa alikuwa anaua wauza ngada mwenyewe kwa mkono wake na umoja wa mataifa tayari wameshaanza kumkoromea. Naona wanamwangalia kwanza akizidisha ujinga tu wanamwondoa. Watamtafutia sababu tu na wakionda mubashara ni noma basi wanakwenda covertly!!!
 
images

"Ang problema kasi sa puti, itong Amerikanong ulol.. [for] every five Americans kasi, ang tatlo diyan idyoto, dalawa lang ang tama ang utak,"

(The problem with these white people, these American blockheads, is that three out of five of them are idiots, and only two are in their right minds.)

Hayo ni maneno ya Rais wa Ufilipino akiwajibu mahasimu wake US wanaomkosoa kwa hatua kali Dhidi ya Wauzaji wa madawa ya kulevya. Hadi sasa wameshauliwa zaidi ya 3000 na wengine kawaua mwenyewe.

Alimalizia Hotuba yake kwa kusema " If you are destroying my county, I will Kill you"

Duniani kuna mambo
source:Duterte: UN rights chief a joker, idiot ‘3 of 5 Americans idiots’,Philippines' Duterte to U.S. over aid: 'Bye-bye America'
Hivi nani kati ya hao anaingia katika huo msemo wa Duterte
150213092629-08-obama-0213-super-169.jpg
 
Hv kwa unavyodhan kat ya Philippine na US nan anamhitaj sana mwenzake.... US Ana nini cha kuchukua Philippines may b kuhusu hyo ishu ya bahar hata hvyo south China sea bado US anao washirika wenye nguvu kama Japan, etc... Hyo ufilipino unayoisifia kwamba ni nchi kubwa kwann ilkua inapokea msaada WA mamilioni ya dola from US kwa ajili ya kuboresha uchumi wao.
Kuhusu misaada usishangae mbona nchi ambazo zipo G20 zinapokea misaada kutoka USA

USA anamhitaji ufilipino awe mshirika wake ,sababu ya military base nk ..ufilipino akiwa upande wa urusi pigo itakuwa kwa USA kivyovyote vile sabb urusi atakuwa anaongeza wigo mpana..na pia south sea China akiushikilia itakuwa pigo sababu eneo la Hawaii lipo karibu na south sea

Ujue Duterte hana shida na USA Bali ana shida na Obama&Sera zake..ni kama vile Paul kagame hakuwa na uadui na Tanzania Bali alikuwa na matatizo na kikwete lkn magufuli alivyoingia madarakani tumeona urafiki uliyopo

Halafu Duterte alivyoenda China unajua China amempa ofa gani ufilipino??

China wamempa ufilipino boti za mwendo kasi ,silaha ndogo ndogo na mkopo wa dollar 14.5 billion

China wameondoa meli zao za kivita kuwaruhusu wavuvi wa ufilipino wavue sehemu yenye mgogoro
.
Mwishoni Duterte aliulizwa unakubali vipi $14.5 billion na kwanini usisubiria msaada wa USA unaotoka mwishoni wa mwezi huu.

Duterte alimjibu hivi: "shut up,shut up,I do not need your assistance.Millenium challenge ,400 million?China is going to release to me 50Billion.Go home,I do not need your aid.

Hahaha Duterte jembe sana ase
 
Hv unawajua US wewe au unawasikia wakiamua kumwekea vikwazo Yule hafurukuti, half uzuri WA vikwazo ni kwamba huwa vinawaumiza wananchi hasa WA kipato cha chini hvyo akishaanza kuchukiwa na wananchi unadhan kuna nn tena hpo watu wanaingia barabaran kaz inakua imekwisha. Iran wenyewe na mafuta yao kibao walivyoondolewa vikwazo wananchi walishangilia na kugaragara barabaran sembuse hyo Philippines, rejea Obama alivyorudisha uhusiano na Cuba na kuwaondolea vikwazo, uliona wacuba walivyoshukuru.... Cheza na US wewe....ana njia nying za kumwadhibu huyo philiphines kilichobak ni kuchagua tu atumie ipi au aanze na ipi na amalizie na ipi.
 
Atakuwa mgonjwa wa akili huyu. Amekiri kuwa alikuwa anaua wauza ngada mwenyewe kwa mkono wake na umoja wa mataifa tayari wameshaanza kumkoromea. Naona wanamwangalia kwanza akizidisha ujinga tu wanamwondoa. Watamtafutia sababu tu na wakionda mubashara ni noma basi wanakwenda covertly!!!
Duterte aliwaambia mateja wote wajisalimishe sober house au kituo cha polisi na aliwapa mwezi wajisalimishe...

Hawa hapa ni baadhi waliojisalimisha

d0acf51ef54833d8cc57f6b1d5a8d31d.jpg

Ma alfu ya mateja wakijisalimisha kituo cha polisi na kupewa mazoezi ya afya

77c1ee35cf835a3ea26c5625d1d019ce.jpg

Wengine hawa hapa

Sasa wale mateja wabishi ndio wanajitakia kufa,kama wanajali maisha yao wajisalimishe tu police post au sober house.. Duterte hana makosa ameshawaambia mateja wote jisalimisheni
 
Hv unawajua US wewe au unawasikia wakiamua kumwekea vikwazo Yule hafurukuti, half uzuri WA vikwazo ni kwamba huwa vinawaumiza wananchi hasa WA kipato cha chini hvyo akishaanza kuchukiwa na wananchi unadhan kuna nn tena hpo watu wanaingia barabaran kaz inakua imekwisha. Iran wenyewe na mafuta yao kibao walivyoondolewa vikwazo wananchi walishangilia na kugaragara barabaran sembuse hyo Philippines, rejea Obama alivyorudisha uhusiano na Cuba na kuwaondolea vikwazo, uliona wacuba walivyoshukuru.... Cheza na US wewe....ana njia nying za kumwadhibu huyo philiphines kilichobak ni kuchagua tu atumie ipi au aanze na ipi na amalizie na ipi.
Ndio maana viongozi wengi wa nchi mbali mbali wameshukuru Trump kuchukua nchi na siyo Hillary sababu hiyo hiyo

Obama alikuwa hata wale wapinga Sera zake za ushoga hawapi misaada ,kwahili suala la mateja Trump atamuunga mkono Duterte,Trump hanaga maujinga ya Obama&Hillary ,angalia Sera zake anachukia madawa,ushoga nk

Kuhusu umoja wa mataifa ,basi China angewekewa vikwazo angalia sheria zao kuhusu madawa

Mwisho ya yote Obama anaachia ofisi ,Duterte alikuwa anamkashifu Obama tu..na Trump alimpongeza Duterte alivyomkashifu Obama

Vikwazo wanawekewa madictator na watengeneza nucleur ,nchi za demokrasia hawawezi kuwekewa vikwazo Bali watasitisha misaada tu..
 
Tangu lini foreign policy ya marekani ikabadilika hasa kwenye interest za marekan isitoshe ikihusisha adui yao namba moja kwenye uchumi, China?!.... Wewe ngoja huyo trump aingie utaona km kuna kipya kitabadilika kwenye US foreign policy.
 
Huyu jamaa balaa sana, Tatizo dunia nayo huwa inatetea waarifu bila kuangalia unene na uzito wa tatizo.
Anajua anachokifanya, kuna wakati inabidi uwe mkorofi ili mambo yaende, Mateja wote mwisho wa siku wanaishia kuwa mzigo kwa serikali
Kina Chid-Benz,wanapiga show weeeee!! Hafu wakizichanga wanaenda kula sembe wakizidiwa lawama zinakuwa nyingi oooh!! serikali ,oooh!! Rais huyu siyo wa watu son of bitch.
 
Kuhusu misaada usishangae mbona nchi ambazo zipo G20 zinapokea misaada kutoka USA

USA anamhitaji ufilipino awe mshirika wake ,sababu ya military base nk ..ufilipino akiwa upande wa urusi pigo itakuwa kwa USA kivyovyote vile sabb urusi atakuwa anaongeza wigo mpana..na pia south sea China akiushikilia itakuwa pigo sababu eneo la Hawaii lipo karibu na south sea

Ujue Duterte hana shida na USA Bali ana shida na Obama&Sera zake..ni kama vile Paul kagame hakuwa na uadui na Tanzania Bali alikuwa na matatizo na kikwete lkn magufuli alivyoingia madarakani tumeona urafiki uliyopo

Halafu Duterte alivyoenda China unajua China amempa ofa gani ufilipino??

China wamempa ufilipino boti za mwendo kasi ,silaha ndogo ndogo na mkopo wa dollar 14.5 billion

China wameondoa meli zao za kivita kuwaruhusu wavuvi wa ufilipino wavue sehemu yenye mgogoro
.
Mwishoni Duterte aliulizwa unakubali vipi $14.5 billion na kwanini usisubiria msaada wa USA unaotoka mwishoni wa mwezi huu.

Duterte alimjibu hivi: "shut up,shut up,I do not need your assistance.Millenium challenge ,400 million?China is going to release to me 50Billion.Go home,I do not need your aid.
Go home i don't need your aid,i like this!!!!

Hahaha Duterte jembe sana ase
 
Back
Top Bottom