MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,837
- 43,008
wanapika vibayaaa sana swahil foodPurchasing power ya watanzania wengi ni ndogo, kupika vyakula vingi mapema bila wateja wa uhakika ni kujitafutia hasara.
aiseeeeeWengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze chapati zingine 3. Ila mara nyingi nikisafiri ninatoka nje kula kwenye migahawa hata mama ntilie. Ajirini watu wanaoweza kupika.
Mtu mmoja unakula Chapati 9 + roast ya kitimoto kilo mbili? Hiyo balaa.Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze chapati zingine 3. Ila mara nyingi nikisafiri ninatoka nje kula kwenye migahawa hata mama ntilie. Ajirini watu wanaoweza kupika.
Hapana haikuwa kitimoto. Ilikuwa rost nyama na chapati 9. Mimi ninafanya sana mazoezi ya kukimbia. Nina urefu wa 180cm na uzito 85kg.Mtu mmoja unakula Chapati 9 + roast ya kitimoto kilo mbili? Hiyo balaa.
Haiyumkini ndiyo maana mnanenepeana kama mbuyu.
Hapana Lamomy. Mimi nilikuwa tu mteja.Naona Nyati unajipigia promo na lodge yako..!! 😹😹😹
Haya tukija Tunduma tutafikia hapo..!!
Mr Nyati kwenye moja na mbili 😹Hapana Lamomy. Mimi nilikuwa tu mteja.
Una kadi hai ya chama pendwa (CCM)?Mr Nyati kwenye moja na mbili 😹
Nipe mchongo basi boss
Mimi nataka pesa mambo ya kadi ya nini?Una kadi hai ya chama pendwa (CCM)?
PoleeeHapana haikuwa kitimoto. Ilikuwa rost nyama na chapati 9. Mimi ninafanya sana mazoezi ya kukimbia. Nina urefu wa 180cm na uzito 85kg.
Jimbo gani tena?Mimi nataka pesa mambo ya kadi ya nini?
Sema jiwe alikukatili kipindi kile jimbo lingekuwa lako sasa hivi..!! 😹