Lodge nzuri jijini Mbeya

Lodge nzuri jijini Mbeya

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,804
Reaction score
2,631
Habarini za asubuhi wanajamvi

Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge iliyokaribu na mjii
 
Nenda mghaka inn...ipo fresh sana hutojutia kabisa....ukifika mbeya chukua teksi au bajaji au bodaboda pale mwanjelwa mwambie dereva akupeleke chuo cha teku, ukifika teku utauona mnara wa vodacom, ukiulizia tu maeneo hayo mghaka inn utaona mabango ya maelekezo ilipo ama ukiulizia kwa watu utaonyeshwa, Nachokipenda pale ni usalama, umeme upo wa kutosha, privacy na kuwa free sana.
 
Mbeya kuna Lodge nyingi nzuri na bei nafuu hata Hoteli zao pia, malazi na chakula Mbeya ni nafuu kuliko mkoa wowote hapa Tanzania kwa Uzoefu wangu, kuna hizi za Mfekemo ni nzuri, zipo kama nne hivi na wana hotel na hostel, Mfekemo hostel, Guest house, Lodge na Hotel, zipo mjini kabisa maeneo ya Mwanjelwa, katika ya Mji na sio mbali kwenda Mjini.

Pia kuna Manyanya Hotel n Lodge, Mtenda Lodge nazo zipo pouwa zipo maeneo ya Forest Mpya nje kidogo ya mji ila pia sio mbali na town ni daladala moja.

Lodge zilizo mjini ni za zamani kidogo tafuta zilizo nje ya kidogo ya Mjini.

Bei ni kati ya 20k - 40 ila za uhakika, chai na maji ya moto.
 
Afu kama huendi na Private panda hizi ndege za ardhi ni Dar Lux hutojutia safari yako.
 
mkuuu

nakushushukuru sanaa mkuuu kwa taarifa nzuriii
 
Afu kama huendi na Private panda hizi ndege za ardhi ni Dar Lux hutojutia safari yako.
mkuuu natokeaaa kandaa ya kazkazinii mkuuu maili chache kutoka mjii wa nairobi na nisijapendelea kuzunguka mkuuu nanyoosha kanda ya katii
 
Nenda mghaka inn...ipo fresh sana hutojutia kabisa....ukifika mbeya chukua teksi au bajaji au bodaboda pale mwanjelwa mwambie dereva akupeleke chuo cha teku, ukifika teku utauona mnara wa vodacom, ukiulizia tu maeneo hayo mghaka inn utaona mabango ya maelekezo ilipo ama ukiulizia kwa watu utaonyeshwa, Nachokipenda pale ni usalama, umeme upo wa kutosha, privacy na kuwa free sana.
Ungemuwekea na bei ili afahamu maana umewahi patumia
 
Mwangole Lodge itakufaa zaidi mkuu

utapata huduma zote muhimu hasa kwa mazingira ya baridi kama mbeya kwa viwango vya hali ya juu na kwa bei elekezi

ipo uyole au mwanjelwa na zipo karibu kabisa na stand...huku mazingira yake yakiwa safi na salama.

bei ni kati ya 15k hadi 25k

karibu sana Mbeya
Karibu Mwangole Logdes
 
Nenda Desderia kwa Sugu ukalale huku unasikiliza old school hip hop za Sugu
 
Habarini za asubuhi wanajamvi

Naombeni msaada wakuu ninategemea kusafiri tar 23-27 kwenda Jijini Mbeya naombeni kujuzwa sehemu nzuri pakufikia kwa ajili ya makazii wanajamviii.especally Lodge iliyokaribu na mjii

Mpigie simu Mh. Sugu, anamiliki hotel yake pale mjini.
 
Mwangole Lodge itakufaa zaidi mkuu

utapata huduma zote muhimu hasa kwa mazingira ya baridi kama mbeya kwa viwango vya hali ya juu na kwa bei elekezi

ipo uyole au mwanjelwa na zipo karibu kabisa na stand...huku mazingira yake yakiwa safi na salama.

bei ni kati ya 15k hadi 25k

karibu sana Mbeya
Karibu Mwangole Logdes
Ahsanteee mkuuuu
 
kwa hotel ya kawaida nenda mfikemo iliopo sae,au ya mwanjelwa,pia uyole IPO hotel nzuri iitwayo southern hotel nzir sana
MKUU HIYO ID YAKO INANICHEKESHA NIKIKUMBUK kile kichekesho,kibori nangali nipo mwaaaLim,Jana ulikiwa wapi,hifii wewe Mwl .....ma niniiii,ile ngombe ulitaka ashunge mamako sioooo
 
Back
Top Bottom