Tuelimishanee Member Joined May 23, 2018 Posts 20 Reaction score 18 Nov 16, 2021 #1 Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,508 Reaction score 203,233 Nov 16, 2021 #2 Bei nafuu kwako kwa mwingine bei ghalii... Iweke kwenye figure hiyo bei nafuu yako.
ILISACHA JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 2,184 Reaction score 4,043 Nov 17, 2021 #3 Nenda pale KUMA_KUMALIJA
Mzee Shirimaa JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 1,539 Reaction score 3,462 Nov 17, 2021 #4 Nyegezi Apo magari ya wateja Kama we yamejaa na yameandikwa lodge husika yanakuchukua stend Apo mpka kwenye lodge.
Nyegezi Apo magari ya wateja Kama we yamejaa na yameandikwa lodge husika yanakuchukua stend Apo mpka kwenye lodge.
Babuu100 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 400 Reaction score 512 Nov 17, 2021 #5 ILISACHA said: Nenda pale KUMA_KUMALIJA Click to expand... Naunga mkono
Koffi Annan JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 2,259 Reaction score 6,695 Nov 17, 2021 #6 Wag hill
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Nov 17, 2021 #7 Koffi Annan said: Wag hill Click to expand... Hii bei yake ni nafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
Koffi Annan said: Wag hill Click to expand... Hii bei yake ni nafuu? Sent using Jamii Forums mobile app
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Nov 17, 2021 #8 Kumalija one of the best Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 4,479 Reaction score 6,532 Nov 17, 2021 #9 Mwanza Kwanza