Lodge Gani Poa Mombo Korogwe?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Wadau Nipo Na Toto Ya Kipare Nyeupe Sana Nalala Mombo Natoka Hedaru Vipi Lodge Gani Itanifaa Kwa Anaye Pafahamu Vizuri?
 

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Kwah Kwah Kwah [HASHTAG]#joverest[/HASHTAG] Bana Una Visa Sana Discovery Inachanja Lami Ndani Kuna Mziki Wa Rhumba La Madilu Ala Ngayo Ngayo Ngayo Ala Ngayo Ngayo Mawah Toto Ya Kipare Inanukia Manukato From Saudi Arabia Ni Balaa Joto Ya Engine Inapiga Miguuni Kwa Toto
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,507
2,000
Hiki kifaa ulichotumia kuingilia jf kitumie kuangalia google maps na uliza maswali yako humo.

Humu tuna wivu tutakuacha ulale ndani ya gari.
 

dodomao

Member
May 22, 2017
48
125
Ingia play store download TripAdvisor utapata kila unachohitaji mkuu kuhusiana na na malazi eneo lolote
 

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
1,000
Mombo tafta sehemu classic na ya ulinz ktosha maana hapo vibaka wengi sana uiienda lodge za hovyo utatoka huna hata buku ya supu, wahudumu hushirikiana na vibaka kuibia Wateja, mombo sio salama uwe na tahadhali za ktosha!
 

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
8,301
2,000
Korogwe pako vizuri zaidi achana na mombo..ingawa najua umeamua tu kuzingua..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom