Mvua siku nzima haikatiki sio mvua kidogo mkuu
Nishaisave Google Map. Naona ya Ukweli. Sema sidhani kama ni patulivu.Nenda Rungwe Sinza Africasana. Bed and breakfast. 60,000 tu full kipupwe.. patamu balaa
Dhambi ipi tenaDhambi sana...
Kuulizia lodge kipindi cha masika...Dhambi ipi tena
Joto ni kiboko ya wazinzi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wazinzi mlisubiri mvua kwa hamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar Lodge zipo kila mahali na zote zimejificha ni swala la we kupanda gari au boda shuka popote itafute unaipata halafu hiyo budget kubwa sana za 30000 ziko poa ila jua tu dar hakimbiwi mtu hapo unapoenda kujificha utamkuta wife wako nae kajificha
Si ndo wazee wa dakika moja hawa km kuku?Ninyi watu wa Dar ni wahuni nyie
Umeachana na mahandow wako?Kuulizia lodge kipindi cha masika...
Wana kazi nyingi za kufanyaSi ndo wazee wa dakika moja hawa km kuku?
mbona siku NyingiUmeachana na mahandow wako?
Sasa unajificha huku unaulizia mitandaoni ?? Jaribu kuwa serious mkuu lodge na hotel kila mahali zipo mpaka bubu zipo ww tuWakuu habari!
Kama mnavyoiona hali ya Hewa hii, naomba nifahamishwe lodge au Hotel yoyote nzuri Dar ila iwe imejificha ficha kidogo.
Iwe maeneo ya Dar tu.
Budget yangu 50,000 to 70,000.
Najua zipo ila kuna yale machimbo adimu, mtu wa kawaida kujua kama maeneo haya kuna hotel au lodge ni ngumu na ndo ninazouliziaSasa unajificha huku unaulizia mitandaoni ?? Jaribu kuwa serious mkuu lodge na hotel kila mahali zipo mpaka bubu zipo ww tu
Ndio Mkuu 😂Yaani tukusaidie sehemu ya kufanyia madhambi?
Ah!!! wapi.Za kukaa kijiweni na kubishana mambo ya mpira na siasa?.Wana kazi nyingi za kufanya
Eh huko hapanaNjoo tegeta kuna lodge za kamanda Siro hizi zina ulinzi masaa yote,zinaitwa Tongori,Nyakoro na Nyangarika,hizi hata ukija asubh we unakunywa bia tu
Najua zipo ila kuna yale machimbo adimu, mtu wa kawaida kujua kama maeneo haya kuna hotel au lodge ni ngumu na ndo ninazoulizia