Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

Hahaha.kuna lodge moja sikumbuki jina ipo ile njia ya lami katikati ya bunge na chuo cha cbe.ipo vzr kwa 20000tsh asubuhi unaandaliwa chai nzuri.pia service yao ni nzuri. Kama maji ya moto nk

Mana notel,pazuri sana
 
Hapana mkuu hiyo naijua ni hotel nilikuwa nakunywaga hapo. Si ipo nyuma ya cbe na bunge?? Nayozungumzia ipo mbele ya cbe na bunge ile njia ya lami sijui ya singida mie sio mwenyeji sana hapo.

mana,ni pazuri sana
 
Hahaha karibu na club aziz enheee nakumbuka nilikuwa member pale hivi bado ipo??

Hipo mkuu ila ninamiez miwili toka nipite tena maeneo ya Makole sio mkazi pale ila nikijaga Dodoma ndio viwanja hivo
 
Back
Top Bottom