Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

Lodge au Gesti maeneo ya Dodoma mjini

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,099
Reaction score
438
Nategemea kwenda Dodoma siku ya jumamosi na nlikua naomba msaada wa lodge au gesti zenye usalama maeneo ya pale stendi (Jamatini) kwa gharama ya 15,000 - 20,000.

Ntashukuru kwa msaada wenu
 
Ndugu kwa sasa sahau pa kulala pa bk 20. Dom imejaa sana labda nje ya mji na uswaz tu.
 
Ndugu kwa sasa sahau pa kulala pa bk 20. Dom imejaa sana labda nje ya mji na uswaz tu.

Sehemu za 20,000 ni nyingi sana Dom, lodge zilizopo barabara ya Dodoma inn kuelekea mataa zote zile ndio bei zake.
 
nenda Ukio Lodge au angel guest mkabala na Club la Aziz utapata kwa bei hizo..
 
Labda upate za mitaani ila mjn kati nying zimejaa,
Na kama unategemea kuunganisha safar asubuh ipo mitaa ambayo ipo karibu na mjin na unaweza ukawai pia safar yako
 
Guest na lodge za Dodoma haziwezi kujaa kwa ugeni wa watu elfu kumi,bado ni za kumwaga ni wewe tu na mihela yako.
 
kivulini guest makole

Hahahaha hii guest naipata nilifikiaga hapo mwaka fulani ni mbaya kwa kweli.kulikuwa na wadada wanajiuza hapo .kiukweli haina hadhi.but mitaa ya makole kuna lodge nyingi tu nzuri ila nawasiwasi zitakuwa zipo na bei juu msimu huu wa bunge
 
saa 12 wanakuamsha wanataka kudeki
 
saa 12 wanakuamsha wanataka kudeki

Hahaha.kuna lodge moja sikumbuki jina ipo ile njia ya lami katikati ya bunge na chuo cha cbe.ipo vzr kwa 20000tsh asubuhi unaandaliwa chai nzuri.pia service yao ni nzuri. Kama maji ya moto nk
 
Hahaha.kuna lodge moja sikumbuki jina ipo ile njia ya lami katikati ya bunge na chuo cha cbe.ipo vzr kwa 20000tsh asubuhi unaandaliwa chai nzuri.pia service yao ni nzuri. Kama maji ya moto nk

au fifty six?
 
Back
Top Bottom