donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Kuna mtu ameisha hapo naona savana, vidude vyetu ya kupimia ukimwi viwili kweli hiyo lockdown mzee.
Hahaha, we jamaa mganga nn??Hizo Savana , alikuwa anakunywa demu,na huyo demu ni mweupe kiasi flani mwili teketeke (mlaini na anatako zuri) mfupi kidogo,wewe mshenzi ume mfaidi kweli yaan
Kuna mtu ameisha hapo naona savana, vidude vyetu ya kupimia ukimwi viwili kweli hiyo lockdown mzee.
Mkigundua nyote mnayo huko lockdown mkae huko huko mpaka mpone
Naona vipimo mezani kama kawa.
Salute kwa kujipenda bro.
Hapo kitu kinaliwa nyama nyama[emoji39][emoji39][emoji39]
Ukute mdada mrefu mwenye kifiga flani asiwe bonge halafu asiwe sister do sana
Utafaidi miuno mpaka usahau mateso ya Ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Dadake, we si unazingua Kaya hapo ubalozini? Hivi bado uko pale mbezi? Af huwez amini Ile chombo yangu juzi imekula mzinga ukipita pale polisi kawe unaiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Dear..Nilihama mitaa ile nimekuja mjini.
Imekuaje ikala mzinga? Usogee Nyamala kuna kijiwe kipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo Savana , alikuwa anakunywa demu,na huyo demu ni mweupe kiasi flani mwili teketeke (mlaini na anatako zuri) mfupi kidogo,wewe mshenzi ume mfaidi kweli yaan