Lock Down ni kama hivi kwa JiranI

Lock Down ni kama hivi kwa JiranI

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,954
Watanzania wenzangu.

Covid imewabana JIRANI nchi moja sasa locked down ya nguvu wamefikia hata kujificha kwenye jaba na jaba linapakiwa kama mzigo na loba la ndizi ili kuwai mzigoni.

IMG-20210620-WA0006.jpg


IMG-20210620-WA0005.jpg
 
Sass huyo aliekaa kisha kavaa box kichwani, ndio kajificha hapo??funny...
 
Back
Top Bottom