Location yangu siku ya leo

Nina wasiwasi hayo macho mda wote yatakuwa na tongotongo kama ya mbwa dume kwa sababu ya kuchakata kipapune cha wadada
 
Nilidhani leo ungejuwa busy unachakata viepe kutafuta hela.
 
Kama tulivyoongea kikao cha kufungia mwaka,usituangushe!Na wala usiruhusu timu pinzani kujiangushaangusha ili wapoteze muda.Weye chapa kazi.Hakikisha hadi amesema ..."wekerea kanyauuuuu"...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…