Nimeikuta hii kitu 77
inareceive almost local channels zote for free kasoro DTV.Pia kuna Citizen,TV Emanuel,Al Jazeera,African Movies etc
wanakiuza 115,000/= Tshs, no monthly subscription
Milionea Riziwani lazima aibuke na cha kwake.Duh!!bado cha bakhresa kazi tunayo...tutakuwa na visimbusi mpaka chooni..
wapo mtaa wa zanaki na pia kama umesoma vema ni kuwa hakuna monthly subscription feemkuu samahani lakini ukiwa mwana jf umatakiwa uwe mdadisi ungeulizia hiyo kampuni ni ya wapi, ofisi zao ziko wapi,subst. Fees zao zikoje na chanels gani wanazo!!! Ungesaidia wana jf wote!!!!!
Duh!!bado cha bakhresa kazi tunayo...tutakuwa na visimbusi mpaka chooni..
hivyo vingamua n vya DStv...kwa wale wasofaham...
hahahahaaaa,hachelewi mkuu anasoma ramani kwanza!!!Dah kajamaa kila mahali kapo....Milionea Riziwani lazima aibuke na cha kwake.