Local Chanel katika King'amuzi cha Azam na DSTV

Si wakubaliane tu kama kila upande hawapati hasara,najiuliza wakionyesha nani anapata hasara wenye tv husika ambao hawakulala mika?au serikali na kama ni serikali waende kwenye amend ya mikataba liishe.
Nimemiss shilawadu
 
Baada ya kuona local chennel haziludishwi kwenye kingamzi cha azam nimeamua kufunga kebo uko napata kila kitu. Kukiwa na mechi ya taifa au ligi kuu na laliga na ludi kwenye kigamuzi changu pendwa cha azam.

Kiufupi ata kebo zisingekuwepo siwezi kukosa kulipia kingamuzi cha azam maana burudani nazo zipata ata hyo ela nalipia naona nawapunja.

Emu fikilia morning tramphet, move kali, tamthilia za kutosha kama narjin,sultan na jamal laja ujaweka laliga bado ligi kuu tanzania bara, bira kusahau ndo kingamzi pekee kinaonyesha mechi za taifa stars hiwe nyumbani au ugenini. Mimi nasemaje ata wasipo ludisha local channel siami azam tv.
 
mkuu umelipia tangazo ,
 
Hizo local channel zina nn hasa kipya?? Au mnataka kuangalia mizengo??
 
Back
Top Bottom