Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Sidhani kama kuna mtumiaji Wa DSTV anayependelea local channels, ukitaka local channels uwe na startv
mimi naimis ITv jaman
Sidhani kama kuna mtumiaji Wa DSTV anayependelea local channels, ukitaka local channels uwe na startv
Ndo basi tena,CCM oyeeee
"Wia ini ze raiti traki"oyee
sure"Wia ini ze raiti traki"
"Sintowaangusha,nasema kweli kabisa kabisa"sure
Adi wabunge wote watakapo muunga mkono kwakuondoka kwenye vyama vyao na kuungana kupanda track analoliendesha kabla ya kwisha mafuta na Kuzima!!Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
ITV haionekani kwako? Sasa sijui wanatumia utaratibu gani kudefine hizo local channels maana kwangu ni wasafi na clouds ndo hazionekanimimi naimis ITv
jaman
StarTimes I mean mkuu, nilikoseaStartv wana kisimbusi?
Startv!? Ya wapi tena hiyo?Sidhani kama kuna mtumiaji Wa DSTV anayependelea local channels, ukitaka local channels uwe na startv
StarTimes nimemaanisha mkuu, otherwise nilikoseaStartv!? Ya wapi tena hiyo?
Hawa ndio wale wanachangia tu hata tv hana.Startv!? Ya wapi tena hiyo?
ITV haionekani kwako? Sasa sijui wanatumia utaratibu gani kudefine hizo local channels maana kwangu ni wasafi na clouds ndo hazionekani
😂😂😂Hawa ndio wale wanachangia tu hata tv hana.
Hawa ndio wale wanachangia tu hata tv hana.
Huko zilitolewa muda mrefu sana ,wanasema leseni ya DSTV na Azam haziruhusu kuonesha local channels isipokuwa TBC tu, mpaka wabadilishe leseni zaodstv?mbn ipo tbc tu mkuu?au mie sijaangalia muda? maana nikirudi nakuta cartoon saa2 siwki tbc naenda kulala..mayb ipo
Tumechezewa mnooo nasema!niombeeni