Loan processing fee

Loan processing fee

KingPower

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
1,143
Reaction score
1,886
Habar za wakati wakuu,

Nina mpango wa kuchukua mkopo Mwaka ujao (Kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu)

Ila nimestushwa kidogo na hii Ada ya loan processing fee,

Maana kuna mfanyakazi mwezangu kachukua mkopo wa 11mil Kwa miaka 8

Ila cha ajabu kakatwa laki 8 na 58 elfu,
Uki plus na riba mpaka mkopo wake kuisha anarejesha around 15mil.

Wakati yeye kapewa Kama 10.12mil

Sasa najiuliza hii Ada ya mkopo (loan processing fee) ni Kwa ajili ya nin?

Je kuna benk nzuri ambayo haina hii Ada?

Aiseee hii inaumiza

Wenye kujua sehemu sahihi (taasisi au benk) za kupata mikopo nafuu naomba atusaidie
 
WE ndugu yaani unataka unachowaza ndo kiwe sheria. Hadi unaona kitendo Cha kukopa ni......., Acha hizo tumia uhuru wako vizuri.. kila mmoja ana mtazamo wake. Leo mtu anaweza akoona ni heri kukatwa 100,000 kila mwezi Kwa Miaka saba, kuliko kukatwa 300,000 Kwa Miaka minne. Kumbuka maisha lazma yaendelee.
Hakika umenena vizuri

Anataka mawazo yake ndo yawe utaratibu kwa wengine
 
😂 hao watakua ni CRDB maana processing fee yao ni kama wanakomoa... Nenda NMB
ANGALIZO usije ukajichanganya ukaingia kukopa ktk hizi bank mpya au taasisi za kifedha, watakunyonya hadi mifupa na riba zao hazina kichwa wala miguu... Watch out
 
Bank ambazo zina processing fee ndogo ni mbili tu wala hazina hiden costs kama Nmb ni Crdb na Nbc hao nmb unakatwa mpaka VAT ya mkopo ni noma sana
 
sasa hiyo si business, Hoja yako ya Msingi ingekuwa, Ukubwa au Udogo wa Faida yao.
 
Habar za wakati wakuu,

Nina mpango wa kuchukua mkopo Mwaka ujao (Kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu)

Ila nimestushwa kidogo na hii Ada ya loan processing fee,

Maana kuna mfanyakazi mwezangu kachukua mkopo wa 11mil Kwa miaka 8

Ila cha ajabu kakatwa laki 8 na 58 elfu,
Uki plus na riba mpaka mkopo wake kuisha anarejesha around 15mil.

Wakati yeye kapewa Kama 10.12mil

Sasa najiuliza hii Ada ya mkopo (loan processing fee) ni Kwa ajili ya nin?

Je kuna benk nzuri ambayo haina hii Ada?

Aiseee hii inaumiza

Wenye kujua sehemu sahihi (taasisi au benk) za kupata mikopo nafuu naomba atusaidie
Mkuu ada inakutisha kuliko riba
 
Jaribu hii benk ya Mwalimu Commercial Bank "MCB" Hawana kabisa hili li processing fees na riba yao pia ni rafiki. Utanipa feedback mkuu.
 
Habar za wakati wakuu,

Nina mpango wa kuchukua mkopo Mwaka ujao (Kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu)

Ila nimestushwa kidogo na hii Ada ya loan processing fee,

Maana kuna mfanyakazi mwezangu kachukua mkopo wa 11mil Kwa miaka 8

Ila cha ajabu kakatwa laki 8 na 58 elfu,
Uki plus na riba mpaka mkopo wake kuisha anarejesha around 15mil.

Wakati yeye kapewa Kama 10.12mil

Sasa najiuliza hii Ada ya mkopo (loan processing fee) ni Kwa ajili ya nin?

Je kuna benk nzuri ambayo haina hii Ada?

Aiseee hii inaumiza

Wenye kujua sehemu sahihi (taasisi au benk) za kupata mikopo nafuu naomba atusaidie
Hili swali sijui umeliuliza ukiwa ni mjuaji au hujui chochote, umesha sema ni mkopo, we ulikua ukijua mkopo hua hauna riba? Na kama ungekua hauna riba mkopeshaji atakukopesha Kwa faida gani sasa, wewe ni baba yake? Halafu kusema mkopo utatimiza ndoto zako hiyo ni kujidanganya, jasho lako litavuja vile vile tu kama kawaida, utakua umebadilisha muda tu wa hicho unachotaka kufanya kama ni kujenga basi utajenga mapema halafu jasho la kulipa huo mkopo utatumia muda ule ule ambao ungevumilia kujenga mdogo mdogo Kwa kipato chako hicho kidogo.

Mikopo msiifurahie sana Ina majanga yake
 
Acha ujuaji na kukurupuka kuna mahali nimesema mkopo usiwe na riba?
Hili swali sijui umeliuliza ukiwa ni mjuaji au hujui chochote, imesha sema ni mkopo, we ulikua ukijua mkopo hua hauna riba? Na kama ungekua hauna riba mkopeshaji atakukopesha faida gani sasa, wewe ni baba yake? Halafu kusema mkopo utatumiza ndoto zako hiyo ni kujidanganya, jasho lako litavuja vile vile tu kama kawaida, utakua umebadilisha muda tu wa hicho unachotaka kufanya kama ni kujenga basi utajenga mapema halafu jasho la kulipa huo mkopo utatumia muda ule ule ambao ungevumilia kujenga mdogo mdogo Kwa kipato chako hicho kidogo.

Mikopo msiifurahie sana Ina majanga yake
 
Mkopo ni gharama; kwa hayo makato ni kidogo sana; kuna mtu alikopa 15m kwa muda wa miaka 6, jumla atarejesha 26m; muhimu ni ujue mkopo unachukua kwa ajili ya nini
 
Niliwahi kuwa credit officer mahali ... Inaitwa ni loan processing fee, bima ya mkopo, riba ya mkopo, ukiyachanganya (gharama ingine sijui) ukayaingiza kwenye kikokoteo chao ndo inazalisha hicho kitu.

Sasa usiombe mwezi mmoja usirejeshe wakuwekee kitu kinaitwa riba ya adhabu, utajuta.

Benk almost zote formula ni moja na riba ni 18 to 22%.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom