Loan officer

mamabaraka

Member
Oct 18, 2011
92
14
Natafuta kazi ya afisa mikopo katika institution yeyote au mabenk, ninao uzoefu wa kazi hiyo kwa miaka miwili, ninajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza vizuri. Ninao uwezo na uzoefu wa kuwapa wakopaji mafunzo ya biashara na namna ya kutumia hela ya mkopo kabla ya kuwakopesha,pia ninao uzoefu na uwezo kutafiti wakopaji wa mkopo(client Loan assessment) kabla ya kuwapa mkopo kuepuka wakopaji wabaya, nina uwezo wa kutumia computa vizuri. Elimu yangu ni stashahada ya juu ya uhasibu. Tafadhari kwa kampuni yenye kazi hiyo naomba tuwasiliane kwa namba 0787556571. Asanteni.
 
tujijenge wametoa nafasi nyingi sana cheki nao, wako makumbusho kijitonyama au chek magazeti ya jana the gudian au daily newz kwa maelezo zaidi
 
tujijenge na finca peleka,wanaajiri kila siku!!!ila kwa finca ukitaka posts za mikoani ndo unapata kiurahisi,wamefungua branches mpya
 
tujijenge wametoa nafasi za loan officer pia?au ni legal officer tu
 
asanteni sana wadau, nitacheki nao wote tujijenge na finca, maana kazi imekuwa kama almasi au dhahabu. Asanteni sana mbarikiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom