Mi nimiongoni mwa wanufaika wa mkopo ambao hivi sasa naulipa kupitia makato ya mshahara nimeenda ofisi ya bodi kuhakiki deni lililobaki naambiwa nitofauti nakias kinachosomeka kwenye salary sleep eti retention fees ongezeko ni asilimia 6 kwa mwaka hivyo kadri unavyolipa kwa miaka mingi na fees inaongezeka du

