Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Pole sana mkuu kwel kila kitu kinawezekana ila sasa hapo unawashauri madogo na wao wakikosa wakalie au??Habar zenu
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde
Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Mkuu wasikate tamaa na wanaweza fuatilia kwa ukaribu zaid ni vema wakafanya ivoo,, najua uchungu wa kukosa mkopo hasa sis wa hali ya chinPole sana mkuu kwel kila kitu kinawezekana ila sasa hapo unawashauri madogo na wao wakikosa wakalie au??
Sijui hata nguvu ilitoka wapi, nilikuwa nimevurugwa mkuu,,Kufuatilia sio kazi,kazi ni kulia kama wewe hapo ndo pagumu
Samahan kwan kuna majina yatakayotolewa na heslb kwanza kuwa una sifa ya kupata mkopo au wanakutumia tu kuwa umepata mkopo ??Habar zenu
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde
Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Wanatoa majina,, kwa watu wameo nufaika na mkopo,, then ukiingia kwenye account yako unakuta analysis ya vitu wamevo kulipia,, kama tution fees, accomodation, field, n. KSamahan kwan kuna majina yatakayotolewa na heslb kwanza kuwa una sifa ya kupata mkopo au wanakutumia tu kuwa umepata mkopo ??
Unasoma kozi gan mkuuHabar zenu
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde
Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Vyote,, ckuu ukipeleka malalamiko unaenda na kocpy ya fom ulizo tuma awali kwa ems,,,Hivi wakuu hao bodi ya mkopo wanaangalia soft copy ile ya online au wanaangalia hard copy tunayotuma kwa EMS! Au vyote! Au pia ipi ina uzito zaid??
Ila huu uandishi wako unatia mashaka juu ya ufahamu wako. Andikeni vizuri. Mtu unaandika maneno mengi bila hata alama zinazoeleweka za uandishi. Alama za mkato unaweka mbili na ni msomi wa chuo?Habar zenu
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin kabisa,, ambapo bila mkopo chuo kikuu nisingeweza kufika kwa namna yeyote ilee, nadhan mnajua hali halis ya watanzania,, nilipo maliza tu six akili yangu iliwaza chuo,, huku nikitafakal loan board kwan bila wao lisingefanyika lolote,, tcu sikuwa nashida nao kwan nilikuwa na division one nisingekosa chuo,, kimbembe kilianza loan board baada ya batch kama nne kutoka bado jina langu halionekani,, niliamua kupanda moja kwa moja mpaka dar nikafikia kwa rafiki angu mbagala nikiwa na fom (copy), toka huko kichwa kimevurugika huku nawaza na kuwazua hatima yangu kama nitakosa mkopo, chuo ntasomaje kama sio kurudi bush kulima na one yangu kali,,, bas nikafika pale mapema asubuhi mhudum mmoja nikaanza kumwambia kwa uchungu huku nimeshikilia fom nalia, akanambia nenda floor ya kwanza apo, fika pale bila woga nawambia hawanielew,, nikaanza kulia tena kwa saut ya uchung mtu mzima apaa,, akaja mama akazipitia fom zangu akasema hazina makosa,, akasema jamn huyo dogo mmupe mkopo asije akajinyonga bure, mara afsa mmoja akatokea pale akasema panda floor ya nne,, nikapanda natetemeka ile mbaya,, izoo zote stress za boom na kuzaliwa masikin,, da kufika juu nakuta wanapakia majina live,, yule afsa kachukua fom zangu nikaona anasain afuu akaandika "paid" akanambia tunaachia batch ya mwisho hii afu tunafungua dirisha la apeal,, mda c mrefuu jina hiloo da sikuamin,, kila nikiona lile jengo naumiaga sana,, namshukuru Mungu nilipata mkopo japo kwa mbinde
Note:batch zilitoka, ukiona jina lako halitokei na ulijaza fom vizur fuatilia mpaka mwisho usikate tamaa,, apaa bongo bila kupambana mkopo n haki yako ila unaweza kukosa hiv hiv
Nashukuru umeelewa nilicho andika,Ila huu uandishi wako unatia mashaka juu ya ufahamu wako. Andikeni vizuri. Mtu unaandika maneno mengi bila hata alama zinazoeleweka za uandishi. Alama za mkato unaweka mbili na ni msomi wa chuo?
Apa = hapa; afu = halafu
Fom ipii,? Kwan c unakopyJaman hivi hiyo fomu kama huna sanduku la posta hunapataje sasa
Sikupga copy mkubwaFom ipii,? Kwan c unakopy
Siku ukipeleka malalamiko bod utaenda na nn,, hamkuambiwa mtoe copy,, any way God's planSikupga copy mkubwa