Loan Board 2015/2016 appeals iko open now

Bratherkaka

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
101
Reaction score
10
Hello!
Bodi yetu ya elimu ya juu inatakiwa kuwa ya mfano kwenye elimu yetu lakin naona ni tafauti kidogo, system imekuwa wazi tangu jana lakin bado kuna error cjui kwanini sasa mnaweka wazi kitu ambacho akifanyi kazi.. unajanza information zako zote still system inakwambia incomplete information. bado sio good system for real... registration system ilikuwa inakwambia kabisa what information bado ujamaliza lakin hii ni kisanga... i wish one day niwe system designer wenu.. nimekusoma mkopo bcs ya system yenu hadi leo. fanyeni marekebisho kwenye system zenu small error kama hiz zinatatulika.
attachment.php
 
Attachments

  • jm.jpg.png
    jm.jpg.png
    7.9 KB · Views: 1,128
Haaaaaaa watu bhana narrow thinking, bado unahamu ya kuappeal aise pole sana kweli dunia imebeba Mingi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
apana mkuu usiseme hivo ujui sababu anafanya vile coz ujafikwa,, mpe moyo nais ndo la muhm zaid
 
Naomba link mkuu.

Hivi wewe hujaenda bodi ya mikopo ndo maana unataka kuappeal aise pale wanasema Hivi jpm amepeleka hela nyingi sana ila wanataka kazirudisha kwenye mfoko wa hadhina hazina pa kwenda kwan wanafunzi wote wamepata mikopo, ndo uone sasa upuuzi wa bodi ya mikopo.
 
Masihara hayo
Mi ndugu yangu

HANA BABA WALA MAMA YUPO MWAKA WA PILI MZUMBE HAJAPATA MPAKA SASA
 
Hello!
Bodi yetu ya elimu ya juu inatakiwa kuwa ya mfano kwenye elimu yetu lakin naona ni tafauti kidogo, system imekuwa wazi tangu jana lakin bado kuna error cjui kwanini sasa mnaweka wazi kitu ambacho akifanyi kazi.. unajanza information zako zote still system inakwambia incomplete information. bado sio good system for real... registration system ilikuwa inakwambia kabisa what information bado ujamaliza lakin hii ni kisanga... i wish one day niwe system designer wenu.. nimekusoma mkopo bcs ya system yenu hadi leo. fanyeni marekebisho kwenye system zenu small error kama hiz zinatatulika.
attachment.php

Appeal na ambatanisha vitu vinavyohitajika, appeal ikikubaliwa unapewa PESA yote mpaka ya muda uliopita.
 
Mimi kila ninapoingiza maandishi ya malipo ya mpesa inaniambia kuwa imekwishatumika sasa sijui ni kwanini
 
hivi kama upo second year na ulisha appeal mara mbili ukiwa first year unaruhusiwa kuappeal tena kipindi hiki.
 
Mpaka viambatanisho vya kuonesha nimesomeshwa secondary vyte vipo ila bdo jna halijatoka. Na mzaz m1 cna.
 
Jamani board wanasema hivi kwa continuing students kigezo cha kwanza ni priority course (wote watapata) kigezo cha pili ni Orphan (with no both parents) katika batch ya kumi na mbili itakayotoka hawa ndio watakaopewa mkopo single parents yaani wale ambao wana mzazi mmoja itakua vigumu sana kupata lakini baada ya batch ya 12 kutoka wataanza rasmi kushughulikia rufaa. Kama huna hivyo vigezo matumaini ni kidogo sana wandugu...
 
Msaada tafadhali kwa aliye fanikiwa kudown load form ya appeal amefanyaje?maana tangu juzi tunaambiwa incomplete information, muda wenyewe wametoa mfupi mno mbona utaisha na form hatujatoa!
 
Hello!
Bodi yetu ya elimu ya juu inatakiwa kuwa ya mfano kwenye elimu yetu lakin naona ni tafauti kidogo, system imekuwa wazi tangu jana lakin bado kuna error cjui kwanini sasa mnaweka wazi kitu ambacho akifanyi kazi.. unajanza information zako zote still system inakwambia incomplete information. bado sio good system for real... registration system ilikuwa inakwambia kabisa what information bado ujamaliza lakin hii ni kisanga... i wish one day niwe system designer wenu.. nimekusoma mkopo bcs ya system yenu hadi leo. fanyeni marekebisho kwenye system zenu small error kama hiz zinatatulika.
attachment.php
yaani mimi mwenyewe mpaka sasa ni the same kama wewe lakini ikkubali kwako naomba unitaarifu na mimi
 
Back
Top Bottom