Me nmetokako mda huu kuulzia wamesema kna wengne huenda wakaondolew kwny list ya mkopo ila kikbwasubrini ndo majb yaoJamn kuna lile tatzo la watu kuonekana katika batch 1 lakn kwenye allocation vyuon hawapo nilikua naulizia je washashughulikiwa au bado
Wakaondolewa kivipi mkuu cjakupataMe nmetokako mda huu kuulzia wamesema kna wengne huenda wakaondolew kwny list ya mkopo ila kikbwasubrini ndo majb yao